Uzuri wa Toyota/Lexus hybrids zao sio plugins so haikupi pressure ya kuchaji mara kwa mara.Hahahaha unaeza pigia Uber kabisa[emoji75]! Tatizo hizi gari za HYBRID wengi hawana ufahamu nazo ila kuna kundi flani likishazifahamu zitapata umaarufu sana hapa nchini. Wacha ziwe nyingi kidogo sokoni utakuwa ukiwa huna gari la Hybrid unateseka kuliuza [emoji75][emoji75][emoji75]
Zao si Conventional Hybrids, zinajichaji kwa brakesUzuri wa Toyota/Lexus hybrids zao sio plugins so haikupi pressure ya kuchaji mara kwa mara.
Wazee wa league nawaona tu.. Mbona magari yenyewe yapo chini sana, Mnapata wapi ujasiri wa kutembea speed zote hizo
Na ikihama njia ndiyo haionekani jumlanilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.
ingawa inameza mafuta kama jini
Kufika sawa ila sio kuwahi kufika haina uwezo huo labda zile V8Gari ya uhakika ni Land Cruiser mkonga. Sehem yoyote unafika
Gari ya porini,kimwendo haina kitu ila stability sawa.Naam! Nissan Patrol nayo ni gari ya uhakika. Upate Td 42 Manual ni balaaa
Kwasababu gani mkuu Extrovert unasema Altezza gita ni umeme? Alafu mbona shape yake naona inavutia kuliko zile Altezza zingine.Gita ni umeme ule
2JZ engine mzee ya 3000cc ndio iko mle! Mie ni mpenzi wa hatchback mkuu hata wewe kama ni mpenzi wa hatchback lazma utaipenda ile Altezza gitaKwasababu gani mkuu Extrovert unasema Altezza gita ni umeme? Alafu mbona shape yake naona inavutia kuliko zile Altezza zingine.
Ninazikubali sana hatchback mkuu. Kwakweli body ya gita kwa nyuma inavutia zaidi kuliko zile altezza nyingine. Na nadhani gita bado zipo kwenye fashion mkuu.2JZ engine mzee ya 3000cc ndio iko mle! Mie ni mpenzi wa hatchback mkuu hata wewe kama ni mpenzi wa hatchback lazma utaipenda ile Altezza gita
Ninazikubali sana hatchback mkuu. Kwakweli body ya gita kwa nyuma inavutia zaidi kuliko zile altezza nyingine. Na nadhani gita bado zipo kwenye fashion mkuu.
Na ni Majestic kweli kweli.Funga kazi ni Crown Majesta
Tuone hii gita.2JZ engine mzee ya 3000cc ndio iko mle! Mie ni mpenzi wa hatchback mkuu hata wewe kama ni mpenzi wa hatchback lazma utaipenda ile Altezza gita
Tuone hii gita.
Sijaisoma kabisa.
Za kinyama sanaNinazikubali sana hatchback mkuu. Kwakweli body ya gita kwa nyuma inavutia zaidi kuliko zile altezza nyingine. Na nadhani gita bado zipo kwenye fashion mkuu.
Thanks. Ipo unique ukiiangalia faster huwezi jua ni Altezza
Yeah imependeza mnoukiiangalia faster huwezi jua ni Altezza
Kabisa mkuu, alafu model hii zipo chache sana barabarani. Nadhani Toyota hawakutoa nyingi.Za kinyama sana