Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Hahahaha unaeza pigia Uber kabisa[emoji75]! Tatizo hizi gari za HYBRID wengi hawana ufahamu nazo ila kuna kundi flani likishazifahamu zitapata umaarufu sana hapa nchini. Wacha ziwe nyingi kidogo sokoni utakuwa ukiwa huna gari la Hybrid unateseka kuliuza [emoji75][emoji75][emoji75]
Uzuri wa Toyota/Lexus hybrids zao sio plugins so haikupi pressure ya kuchaji mara kwa mara.
 
Muwe mnaandika na urithi kabisa kutuondolea migogoro isiyo ya lazima mnapokufa ghafla.

Ndugu wanagombania Mali zenu na kutesa wake na watoto wenu.
 
2JZ engine mzee ya 3000cc ndio iko mle! Mie ni mpenzi wa hatchback mkuu hata wewe kama ni mpenzi wa hatchback lazma utaipenda ile Altezza gita
Ninazikubali sana hatchback mkuu. Kwakweli body ya gita kwa nyuma inavutia zaidi kuliko zile altezza nyingine. Na nadhani gita bado zipo kwenye fashion mkuu.
 
Ninazikubali sana hatchback mkuu. Kwakweli body ya gita kwa nyuma inavutia zaidi kuliko zile altezza nyingine. Na nadhani gita bado zipo kwenye fashion mkuu.

images (1) (11).jpeg
 
Back
Top Bottom