ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Uzuri wa Toyota/Lexus hybrids zao sio plugins so haikupi pressure ya kuchaji mara kwa mara.Hahahaha unaeza pigia Uber kabisa[emoji75]! Tatizo hizi gari za HYBRID wengi hawana ufahamu nazo ila kuna kundi flani likishazifahamu zitapata umaarufu sana hapa nchini. Wacha ziwe nyingi kidogo sokoni utakuwa ukiwa huna gari la Hybrid unateseka kuliuza [emoji75][emoji75][emoji75]