Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Crown gari stable ila haina mbio,ukiwa na rangerover na unatembea,hiyo crown haitaona umepita wapi,vw bmw,benz,audi, hizo ndio gari,hiyo ingine ni jaguar sasa amua mwenyeweView attachment 783972View attachment 783976
Hii gari kama naendesha mimi nitapigwa vyeti kila siku maana kwa speed hizi sitaweza kuendesha chini ya speed 140 na kuendelea
 
Crown gari stable ila haina mbio,ukiwa na rangerover na unatembea,hiyo crown haitaona umepita wapi,vw bmw,benz,audi, hizo ndio gari,hiyo ingine ni jaguar sasa amua mwenyeweView attachment 783972View attachment 783976
Hayo magari ambayo umeyataja sote tunayajua ila tunaongelea magari ambayo watanzania tunaendesha(toyota)
Gari sikuzote ambayo ni stable hiyo inafaa sana kwa mbio maana unaweza kupiga hadi speed 160 na bado huwezi kuona inatetemeka yaani ni tofauti na haya magari ya kawaida ambayo ukifisha speed 100 unaona gari haitulii na inahama njia
 
Kama kuna gari kimeo kwa pulling na speech basi nadhani Ti inaongoza
 
Sasa kwa hiyo carina yako hata ungekutana na ist ungesanda tu sembuse hiyo crown babu?

Labda ungesema ulikuwa na verosa, macX, gx100/110, alterza halafu ukapitwa na crown sawa ningekuona hujui kukimbizana road

Sasa ungekutana na mnyama mwenyewe Brevis si ungeingia maporini kwa upepo wake mana ile gari ikikupiga inakupa kikumbo cha upepo kama gari kubwa.
 
Kubishana nalo au kutokubishana nalo inategemea na gari uliyonayo.
 
Aisee hayo madude yana mtindo wa ku burst tyre zake. Kuwa makini kuna case kibao watu wamekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…