Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wazee mna mabalaa, si wanasemaga hazina balance hizo mbona unaovertake na kibati kikali nyuzi 180kashindane na wish au gx 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee mna mabalaa, si wanasemaga hazina balance hizo mbona unaovertake na kibati kikali nyuzi 180kashindane na wish au gx 100
Sure...kwa sasa kuna Nissan leaf naona inauzwa sana beforward....Renault na Nissan wana mkataba wa kutengeneza fuel efficient vehicles na sasa wapo awamu ya gari za umeme tu. Miaka kadhaa mbele tutashuhudia watu wakipush mikoko yenye electric motor kama Tesla tu
Shida unachajije mzigo! Sidhani kama miundombinu ya kufanikisha hilo ipo tayari.Sure...kwa sasa kuna Nissan leaf naona inauzwa sana beforward....
Hii gari ni full electric... Interior yake ipo vizuri..kwa safari za mjini ni super sana...Kwa mujibu wa hao beforward hizo used zinaweza kwenda mpaka Mile 120 kama sikosei ikiwa full charged...so uhakika wa kwenda kazini na kurudi nyumbani without out ofcharge upo.
Kwa Usalama hapa Tanzania tungetumia gari za Volvo maana kipaumbele katika gari zao ni usalama kwanza.
Kwa Usalama hapa Tanzania tungetumia gari za Volvo maana kipaumbele katika gari zao ni usalama kwanza.
Sure...kwa sasa kuna Nissan leaf naona inauzwa sana beforward....
Hii gari ni full electric... Interior yake ipo vizuri..kwa safari za mjini ni super sana...Kwa mujibu wa hao beforward hizo used zinaweza kwenda mpaka Mile 120 kama sikosei ikiwa full charged...so uhakika wa kwenda kazini na kurudi nyumbani without out ofcharge upo.
Volvo ndio wanatengeneza gari zenye usalama wa hali ya juu.video zinakudanganya right ?? volvo kwa usalama upi yan
Mfano Volvo XC90video zinakudanganya right ?? volvo kwa usalama upi yan
Volvo ndio wanatengeneza gari zenye usalama wa hali ya juu.
Mfano Volvo XC90
Moja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama
Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi.....sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.
Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga
Hongereni wote mnaoendesha athletes crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea
Kwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVERCROWN ATHLETE ina 1JZ nyingine huwa na 2JZ... sasa kama una CARINA TI means una 3sge... kitu ambacho ni kituko kushindana na 1jz/2jz.. ni haki yako KUPITWA...
sio CROWN tuu kuna TOYOTA ARISTO... nayo ni wale wale jamii ya CROWN.. usithubutu
em chek subaru vs everyone youtube ikishindanishwa na kina volvo XC90 hizo za 2005 uone maajabuMfano Volvo XC90
Mkuu vp kuhusu toyota camry?Kwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVER
Kwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVER