Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Renault na Nissan wana mkataba wa kutengeneza fuel efficient vehicles na sasa wapo awamu ya gari za umeme tu. Miaka kadhaa mbele tutashuhudia watu wakipush mikoko yenye electric motor kama Tesla tu
Sure...kwa sasa kuna Nissan leaf naona inauzwa sana beforward....
Hii gari ni full electric... Interior yake ipo vizuri..kwa safari za mjini ni super sana...Kwa mujibu wa hao beforward hizo used zinaweza kwenda mpaka Mile 120 kama sikosei ikiwa full charged...so uhakika wa kwenda kazini na kurudi nyumbani without out ofcharge upo.
 
Shida unachajije mzigo! Sidhani kama miundombinu ya kufanikisha hilo ipo tayari.
 
Sure...kwa sasa kuna Nissan leaf naona inauzwa sana beforward....
Hii gari ni full electric... Interior yake ipo vizuri..kwa safari za mjini ni super sana...Kwa mujibu wa hao beforward hizo used zinaweza kwenda mpaka Mile 120 kama sikosei ikiwa full charged...so uhakika wa kwenda kazini na kurudi nyumbani without out ofcharge upo.

kumbuka kwa uchumi wa watanzania sio watu wenye uchumi wa kuwa na gari kadhaa eg za safari/tour ,,,mishen town nk ...sisi wengi gari moja matumizi eg una ka ist hako hako unataka unapeleke bukoba hako hako cha town sth which is not good for 1ton car ukigongwa hata na cruiser highway kwisha habari yako...
 
Moja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama

Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye mwinuko kidogo huku nikijiona mimi ni bingwa barabarani niliiona gari likija kwa nyuma yangu kwa kasi sana ilikuwa kama mita 130 nyuma yangu basi nikasema haiwezekani nikapitwa kijinga kiasi hicho nikachochea moto nikafikisha speed 125 hivi.....sasa nilichokuja kunishangaza ni namna yule jamaa wa crown alivyokuwa anaomba site apite yaani ilikuwa ni kitendo cha dk 6 ile gari ilinipita na sikuiona tena.

Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kuendesha CARINA Ti lakini niliambulia patupu
Hizi crown ni gari za safari ingawa inameza mafuta kama jini ila ni chombo cha maana nami namuomba mungu huku nikijichanga nichukue hii ndinga

Hongereni wote mnaoendesha athletes crown au mnaomiliki hii ndinga hakika hamjakosea

CROWN ATHLETE ina 1JZ nyingine huwa na 2JZ... sasa kama una CARINA TI means una 3sge... kitu ambacho ni kituko kushindana na 1jz/2jz.. ni haki yako KUPITWA...

sio CROWN tuu kuna TOYOTA ARISTO... nayo ni wale wale jamii ya CROWN.. usithubutu
 
Kwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVER
 
Mkuu vp kuhusu toyota camry?
 
Kwa kukusaidia tu HAKUNA CROWN YENYE INJINI YA 1JZ WALA 2JZ bali CROWN ATHELETE ina INJINI ZIFUATAZO 2GR, 3GR na 4GR... Hizo zenye 1JZ na 2JZ ni Brevis na Mark II Grande yenye 2JZ tu OVER

ha ha umekurupuka mkuu uwe unaandika chenye unauhakika nacho na ww kwa taarifa yako crown za 1999 had 2003 zina 1jz as well as 2jz pia mpaka 1GE

then za 2003 had 2008 12generation ndo zina
2GR,3GR,4GR usikariri mkuu
 
Hivi nauliza kuna mwanaume asiye penda league road?
 
Back
Top Bottom