Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh Teh!! Kaona mabasi ndo Chaka la kujifananishiaMabasi siku hizi yamefungwa vifaa vinavyofanya isizidi speed 80KPH
Mimi naivutia kasi bmw 5 series y'all 2013, nimeielewa mnoMimi naivutia kasi fuga tu [emoji3]
Dah mkuu unataka utukanyeMimi naivutia kasi bmw 5 series y'all 2013, nimeielewa mno
Ingawa bus zimefungwa speed governor 80kphMabasi siku hizi yamefungwa vifaa vinavyofanya isizidi speed 80KPH
Nissan fuga nyingi ni CC 4300 kama una pesa za kuungaunga haikufaiMimi naivutia kasi fuga tu [emoji3]
Ingawa bus zimefungwa speed governor 80kph
Nissan fuga nyingi ni CC 4300 kama una pesa za kuungaunga haikufai
Mkuu haya magari yetu yenye cylinders 4 mara nyingi ukifisha speed 140 gari inakuwa haitulii na inakuwa nyepesi...nafikiri % kubwa hamjui kutofautisha gari na gari, mnachoangalia in dash board tu, there's more than that like torque, HP, acceleration na artificial features like turbocharging/supercharging
So huwezi ukatoka huko eti ukiiona athlete uiache iende, regardless unaendesha gari gani, na ndiyo maana hata kwenye mashindano gari zote zinalingana kwa 90% but driving ya mtu ndo inaweza kukufanya ukawa wa kwanza au wa mwisho
Starlet glanza unaifahamu boss?Nimefanya safari sana Ti lakini sijaona ikichoka kwenye milima huo ni uongo uliopitiliza wiki iliyopita nimetoka nayo masasi-mtwara hadi Dar nilikuwa nayapita mabasi kama yamesimama...
Ti yangu ni Cc 1479 huwezi kuifananisha na starlet jaribu kuwauliza ambao wanaendesha ti ni gari ya ukweli safari ndefu na haiyumbi ukipishana na bus au Lorry
5 series Ya kibabe sana ile machine,7 series ndani ziko kama ndege shida yake ni reliability tuMimi naivutia kasi bmw 5 series y'all 2013, nimeielewa mno
Mkuu kwani wewe unaichukuliaje Carina si prenium21 maana apa naona unajitaidi kuishusha carina ionanekane uwezo wake mdogo wakati karina zina injini tofauti tofauti kuna zenye injini ndogo na kubwa mkuu sawa yawezekana starlet glanza ikawa vizuri bt haiwezi mkuta carina si premium21 trust ata kwa uchawi haiwezi ipata si 21premium ni iko juu na ina uwezo mkubwa sana wa pulling pia ata ikiwa 160kmh wala haiyumbi iko stable sana hii gari pindi inapokuwa speedStarlet glanza unaifahamu boss?
Mkuu carina na starlet zote ni hakuna kitu kwny mambio lkn ukiifahamu "starlet glanza gt turbo" hio carina yako utaionea huruma tuMkuu kwani wewe unaichukuliaje Carina si prenium21 maana apa naona unajitaidi kuishusha carina ionanekane uwezo wake mdogo wakati karina zina injini tofauti tofauti kuna zenye injini ndogo na kubwa mkuu sawa yawezekana starlet glanza ikawa vizuri bt haiwezi mkuta carina si premium21 trust ata kwa uchawi haiwezi ipata si 21premium ni iko juu na ina uwezo mkubwa sana wa pulling pia ata ikiwa 160kmh wala haiyumbi iko stable sana hii gari pindi inapokuwa speed
Mkuu mimi sijalinganisha carina na athlete crown apo nitakuwa mwehu maana tu ata specf izo ni gari mbili tofaut kabisa iyo crown itashindana na wababe wenzie lkn nilichokubishia ni wewe kuilinganisha carina na starlet apo ndo ulipokosea, crown naielewa kwa mwendo iko juu kwa carina maana ata ukiangalia injini zilizopo kwenye bonnet specfs zake zina utofauti mkubwa sana ivyo haziwezi fanana na 7A hawezi mbishia athleteMkuu carina na starlet zote ni hakuna kitu kwny mambio lkn ukiifahamu "starlet glanza gt turbo" hio carina yako utaionea huruma tu
Mkuu mimi nimelinganisha carina vs starlet glanza gt turboMkuu mimi sijalinganisha carina na athlete crown apo nitakuwa mwehu maana tu ata specf izo ni gari mbili tofaut kabisa iyo crown itashindana na wababe wenzie lkn nilichokubishia ni wewe kuilinganisha carina na starlet apo ndo ulipokosea, crown naielewa kwa mwendo iko juu kwa carina maana ata ukiangalia injini zilizopo kwenye bonnet specfs zake zina utofauti mkubwa sana ivyo haziwezi fanana na 7A hawezi mbishia athlete
Mkuu niwekee specs za iyo starlet glanzaMkuu carina na starlet zote ni hakuna kitu kwny mambio lkn ukiifahamu "starlet glanza gt turbo" hio carina yako utaionea huruma tu
Malizia GT TURBO,cheki google mkuu itakua rahisi zaidi.Mkuu niwekee specs za iyo starlet glanza
Bora wewe umetoa somo juu ya carina naona huyo jamaa anabisha tu ili mradi aonekane anajua mtu ambaye anaiponda Ti kwa starlet sidhani kama amewahi kusafiri na gari safari ndefMkuu kwani wewe unaichukuliaje Carina si prenium21 maana apa naona unajitaidi kuishusha carina ionanekane uwezo wake mdogo wakati karina zina injini tofauti tofauti kuna zenye injini ndogo na kubwa mkuu sawa yawezekana starlet glanza ikawa vizuri bt haiwezi mkuta carina si premium21 trust ata kwa uchawi haiwezi ipata si 21premium ni iko juu na ina uwezo mkubwa sana wa pulling pia ata ikiwa 160kmh wala haiyumbi iko stable sana hii gari pindi inapokuwa speed
Huyo jamaa nahisi hajui ubora wa carina SAFARI ndefuMkuu kwani wewe unaichukuliaje Carina si prenium21 maana apa naona unajitaidi kuishusha carina ionanekane uwezo wake mdogo wakati karina zina injini tofauti tofauti kuna zenye injini ndogo na kubwa mkuu sawa yawezekana starlet glanza ikawa vizuri bt haiwezi mkuta carina si premium21 trust ata kwa uchawi haiwezi ipata si 21premium ni iko juu na ina uwezo mkubwa sana wa pulling pia ata ikiwa 160kmh wala haiyumbi iko stable sana hii gari pindi inapokuwa speed
Hahahahahahaaaa...
Mkuu kwenye maisha hatufanani haiwezekani wote tukamiliki crown,fuga au subaru.