Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Ina maana mimi nikiwa na Lamborghini aventador nikuache uende tu?

Kwan unalinganisha na gari gani
Labda vitz, starlet, passo
 
...nafikiri % kubwa hamjui kutofautisha gari na gari, mnachoangalia in dash board tu, there's more than that like torque, HP, acceleration na artificial features like turbocharging/supercharging

So huwezi ukatoka huko eti ukiiona athlete uiache iende, regardless unaendesha gari gani, na ndiyo maana hata kwenye mashindano gari zote zinalingana kwa 90% but driving ya mtu ndo inaweza kukufanya ukawa wa kwanza au wa mwisho
 
Mkuu haya magari yetu yenye cylinders 4 mara nyingi ukifisha speed 140 gari inakuwa haitulii na inakuwa nyepesi
 
Nimefanya safari sana Ti lakini sijaona ikichoka kwenye milima huo ni uongo uliopitiliza wiki iliyopita nimetoka nayo masasi-mtwara hadi Dar nilikuwa nayapita mabasi kama yamesimama...
Ti yangu ni Cc 1479 huwezi kuifananisha na starlet jaribu kuwauliza ambao wanaendesha ti ni gari ya ukweli safari ndefu na haiyumbi ukipishana na bus au Lorry
Starlet glanza unaifahamu boss?
 
Starlet glanza unaifahamu boss?
Mkuu kwani wewe unaichukuliaje Carina si prenium21 maana apa naona unajitaidi kuishusha carina ionanekane uwezo wake mdogo wakati karina zina injini tofauti tofauti kuna zenye injini ndogo na kubwa mkuu sawa yawezekana starlet glanza ikawa vizuri bt haiwezi mkuta carina si premium21 trust ata kwa uchawi haiwezi ipata si 21premium ni iko juu na ina uwezo mkubwa sana wa pulling pia ata ikiwa 160kmh wala haiyumbi iko stable sana hii gari pindi inapokuwa speed
 
Mkuu carina na starlet zote ni hakuna kitu kwny mambio lkn ukiifahamu "starlet glanza gt turbo" hio carina yako utaionea huruma tu
 
Mkuu mimi sijalinganisha carina na athlete crown apo nitakuwa mwehu maana tu ata specf izo ni gari mbili tofaut kabisa iyo crown itashindana na wababe wenzie lkn nilichokubishia ni wewe kuilinganisha carina na starlet apo ndo ulipokosea, crown naielewa kwa mwendo iko juu kwa carina maana ata ukiangalia injini zilizopo kwenye bonnet specfs zake zina utofauti mkubwa sana ivyo haziwezi fanana na 7A hawezi mbishia athlete
 
Mkuu mimi nimelinganisha carina vs starlet glanza gt turbo
 
Mkuu kwani wewe unaichukuliaje Carina si prenium21 maana apa naona unajitaidi kuishusha carina ionanekane uwezo wake mdogo wakati karina zina injini tofauti tofauti kuna zenye injini ndogo na kubwa mkuu sawa yawezekana starlet glanza ikawa vizuri bt haiwezi mkuta carina si premium21 trust ata kwa uchawi haiwezi ipata si 21premium ni iko juu na ina uwezo mkubwa sana wa pulling pia ata ikiwa 160kmh wala haiyumbi iko stable sana hii gari pindi inapokuwa speed
Bora wewe umetoa somo juu ya carina naona huyo jamaa anabisha tu ili mradi aonekane anajua mtu ambaye anaiponda Ti kwa starlet sidhani kama amewahi kusafiri na gari safari ndef
Mkuu kwani wewe unaichukuliaje Carina si prenium21 maana apa naona unajitaidi kuishusha carina ionanekane uwezo wake mdogo wakati karina zina injini tofauti tofauti kuna zenye injini ndogo na kubwa mkuu sawa yawezekana starlet glanza ikawa vizuri bt haiwezi mkuta carina si premium21 trust ata kwa uchawi haiwezi ipata si 21premium ni iko juu na ina uwezo mkubwa sana wa pulling pia ata ikiwa 160kmh wala haiyumbi iko stable sana hii gari pindi inapokuwa speed
Huyo jamaa nahisi hajui ubora wa carina SAFARI ndefu
 
Back
Top Bottom