Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
kwen haipo au unadhan neno new model ni ya 2020 au 2019Kwann unataka kumuumbua mtu mzima mwenzako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwen haipo au unadhan neno new model ni ya 2020 au 2019Kwann unataka kumuumbua mtu mzima mwenzako?
Ya mwisho ninayoijua ni 1996/2001 na sio new model Bali final model ila kama gari ya miaka 19 au 20 nyuma ndo new model unayomaanisha basi sawa.kwen haipo au unadhan neno new model ni ya 2020 au 2019
final model imekaa vizur. chombo ileYa mwisho ninayoijua ni 1996/2001 na sio new model Bali final model ila kama gari ya miaka 19 au 20 nyuma ndo new model unayomaanisha basi sawa.
Beam 2000 ile engine ni ipo safi sana.final model imekaa vizur. chombo ile
Mkuu hiyo Cresta Gx ukiwa nayo yenye injini ya 1jz gte Moto wake sio wa kitoto.final model imekaa vizur. chombo ile
iko bomba crown sijui tuBeam 2000 ile engine ni ipo safi sana.
crown mjin kero sasaMkuu hiyo Cresta Gx ukiwa nayo yenye injini ya 1jz gte Moto wake sio wa kitoto.
Atayekufata lazima apotee
Daah labda itakua hii jombaa,hahah.Mkuu tupia picha ya hiyo cresta new model tuione.
Mimi nataka kwenye kushindanisha wanipe Toyota Chaser Gr80( Chaser Mayai) yenye injini ya 1G ambayo ni manual.crown mjin kero sasa
Bro Extrovert unanicheka tu 😂Vipi ulaji wake wa mafuta na uimara pia hii S3 GE?
Engine sawa sawa lakini gear box zinatofautishwa kwenye suala la speed mzee baba...Unajua kuna watu wanajisemea mambo tu.
Ameona Speedometer inasema 240 na nyengine 180 basi anaona kuwa ya 240 iko fasta. Crown inavuka 180, hii michoro tu ujue unaendaje. Chukua gari yoyote ya Uingereza mfano tuseme Toyota avensis utaona kuwa ina 240km/hr ila toyota avensis hio hio lakini kutoka Japan utakuta ina 180 na engine sawasawa.
final model imekaa vizur. chombo ile
Kwann unataka kumuumbua mtu mzima mwenzako?
Bongo usishangae AC za nyumbani ukaikuta imefungwa kwenye vitz..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji26][emoji26][emoji26]Boti imekula engine ya 109 hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah labda itakua hii jombaa,hahah.View attachment 1609847
Mkuu kuna project nyingine hapa Bongo kuna mzungu anataka afunge injini ya Discovery V8 petrol kwenye Reinforced Fiber Boat na inafanyiwa modification Kwa kuwekewa gearbox ya marine ya ZF na mfumo wa jet propulsion.Boti imekula engine ya 109 hahaha 😂😂😂
Kwahiyo hakuna jinsi mtu atakaeanzia dar afike singida sawa na yule atakaeanzia moro.DAR-moro ni kipande cha hovyo, madereva wengi wanachukia hicho kipande kutokana na usumbufu wake hata ukitembea usiku wa manane bado utapata shida Tu...
Hizi speed za 150km/h zinatumika sehemu chache mno
Sawa.Hata kutoka Moro hadi Singida hiyo 150kph FLAT, huwez kuipata kote. Kwa maana Gairo,Kibaigwa,Dumila,Pandambili,Mbande,Chalinze ya Kongwa jct,Bahi,Dodoma yote hadi Mizani, humo kote lazima upunguze speed.
Shule inakaaje pemebeni ya high way?Mbaya zaidi vijiji vyenyewe havijasajiliwa ni wale wakimbia mji.Barabara ya segera chalinze ndio vimejaa viingi halafu vibao vinaanzia nyuma sana ni kama vile mtaji wa trafick kwenye hivi vibao,
Napendekeza spidi limit iwe 80Km/h kwa vijiji na 30 Km/h kwa mashule.
Wauza magari wa bongo shida sana.Ya mwisho ninayoijua ni 1996/2001 na sio new model Bali final model ila kama gari ya miaka 19 au 20 nyuma ndo new model unayomaanisha basi sawa.