Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sie wenye Jaguar XJ series tusemaje aiseee 😉😉😉😉Sasa hizo perfomance Cars utafananisha na Commuter?
Crown its a basic car, nenda ka google Lexus LFA V10 ndio walau unaweza ukaiweka sambamba na hizo gari hapo. Au Lexus GS-F
Ile mashine kama ni latest ina moyo wa range rover. Mwendo upoNa sie wenye Jaguar XJ series tusemaje aiseee 😉😉😉😉
Mwiko kwangu kununua gari used lilizo chini ya 2010..😃😃😃. 2010 + na kuendelea huwa ikifika 2025 maana yake nitajivuta nachukua ya 2015.. kuna mdau mmoja alinipa ushauri wa kitaalamu. Kuwa gari ambayo imezalishwa katika miaka 10 kushuka hapo, vipuri vyake huwa vinakuwa na maisha marefu sanaaaaaIle mashine kama ni latest ina moyo wa range rover. Mwendo upo
Uko vizuri mkuu ila kikokotoo lazma uwe na uwezo wa kuki panchuaMwiko kwangu kununua gari used lilizo chini ya 2010..😃😃😃. 2010 + na kuendelea huwa ikifika 2025 maana yake nitajivuta nachukua ya 2015.. kuna mdau mmoja alinipa ushauri wa kitaalamu. Kuwa gari ambayo imezalishwa katika miaka 10 kushuka hapo, vipuri vyake huwa vinakuwa na maisha marefu sanaaaaa
Ndugu yangu, nchi yetu ni ujanja ujanja. Kila kitu ni ujaujna.. hakuna fair game.. mahala popote unapo pajua.. nazani tumesomana 😀😀😀😀Uko vizuri mkuu ila kikokotoo lazma uwe na uwezo wa kuki panchua
Hahahah nakubali mzee baba! Itifaki imezingatiwa.Ndugu yangu, nchi yetu ni ujanja ujanja. Kila kitu ni ujaujna.. hakuna fair game.. mahala popote unapo pajua.. nazani tumesomana 😀😀😀😀
Mzee wa [emoji146] majeste nakuona[emoji28][emoji28][emoji16]Hahah daah mzee baba kumbe muda wote huo unaiponda crown kumbe ww mwenyewe unaendesha Subaru?hahahah kwangu haya yamekua ni maajabu sana.
UANDAE MIHELA YA MAANA TRA NA BEFOWARDMwiko kwangu kununua gari used lilizo chini ya 2010..[emoji2][emoji2][emoji2]. 2010 + na kuendelea huwa ikifika 2025 maana yake nitajivuta nachukua ya 2015.. kuna mdau mmoja alinipa ushauri wa kitaalamu. Kuwa gari ambayo imezalishwa katika miaka 10 kushuka hapo, vipuri vyake huwa vinakuwa na maisha marefu sanaaaaa
Kama karatasi za kupigua kura zinazagaa mtaani, jua kwenye hii nchi kila kitu kibawezekana ni wewe tu 😃😃. Gari tunavuta siku hizi kutoka hapo bondeni tu mkuu... hatwendi mbali sanaaaa... labda kwa dharula tuUANDAE MIHELA YA MAANA TRA NA BEFOWARD
Kuna siku pale tazara nadhani mwaka jana kulifanyika intensive check up ya magari yote ya dealKama karatasi za kupigua kura zinazagaa mtaani, jua kwenye hii nchi kila kitu kibawezekana ni wewe tu [emoji2][emoji2]. Gari tunavuta siku hizi kutoka hapo bondeni tu mkuu... hatwendi mbali sanaaaa... labda kwa dharula tu
Alphard sina hamu...[emoji26][emoji26][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji26][emoji26]Nilijaribu kuifata Crown barabara ya Manyon kwenda Singida nikiwa na Alphard, ila sikuiona kwa hasira niliwapeleka sana kina Tako la nyani, Harrier old, X-trail na kila gari iliyokuwa mbele yangu.
Hilo nalo Neno..Kuna siku pale tazara nadhani mwaka jana kulifanyika intensive check up ya magari yote ya deal
Ole wako ubambwe[emoji848]
Hakuna kinachoshindikana hapa tanzania. Na kitu cha deal waweza kukifanya kuwa legal.. ni njia tu za kupita na wengine wakisha fanya deal wana liachia kati kati na labda hao ndio hupata shida .. na kudiswaaaKuna siku pale tazara nadhani mwaka jana kulifanyika intensive check up ya magari yote ya deal
Ole wako ubambwe[emoji848]
Hii altezza gita ni kinandaaa eeh ?2jz iko kwenye altezza gita ni kisanga
Gita ni mashine japo wengi hawaipendi shepu yako.Hii altezza gita ni kinandaaa eeh ?
2JZ? Kha sikujua gita ni mbabe hiviGita ni mashine japo wengi hawaipendi shepu yako.
Gita ni umeme ule2JZ? Kha sikujua gita ni mbabe hivi