Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

Sasa hizo perfomance Cars utafananisha na Commuter?

Crown its a basic car, nenda ka google Lexus LFA V10 ndio walau unaweza ukaiweka sambamba na hizo gari hapo. Au Lexus GS-F
Na sie wenye Jaguar XJ series tusemaje aiseee 😉😉😉😉
 
Ile mashine kama ni latest ina moyo wa range rover. Mwendo upo
Mwiko kwangu kununua gari used lilizo chini ya 2010..😃😃😃. 2010 + na kuendelea huwa ikifika 2025 maana yake nitajivuta nachukua ya 2015.. kuna mdau mmoja alinipa ushauri wa kitaalamu. Kuwa gari ambayo imezalishwa katika miaka 10 kushuka hapo, vipuri vyake huwa vinakuwa na maisha marefu sanaaaaa
 
Mwiko kwangu kununua gari used lilizo chini ya 2010..😃😃😃. 2010 + na kuendelea huwa ikifika 2025 maana yake nitajivuta nachukua ya 2015.. kuna mdau mmoja alinipa ushauri wa kitaalamu. Kuwa gari ambayo imezalishwa katika miaka 10 kushuka hapo, vipuri vyake huwa vinakuwa na maisha marefu sanaaaaa
Uko vizuri mkuu ila kikokotoo lazma uwe na uwezo wa kuki panchua
 
Uko vizuri mkuu ila kikokotoo lazma uwe na uwezo wa kuki panchua
Ndugu yangu, nchi yetu ni ujanja ujanja. Kila kitu ni ujaujna.. hakuna fair game.. mahala popote unapo pajua.. nazani tumesomana 😀😀😀😀
 
Hahah daah mzee baba kumbe muda wote huo unaiponda crown kumbe ww mwenyewe unaendesha Subaru?hahahah kwangu haya yamekua ni maajabu sana.
Mzee wa [emoji146] majeste nakuona[emoji28][emoji28][emoji16]
 
Mwiko kwangu kununua gari used lilizo chini ya 2010..[emoji2][emoji2][emoji2]. 2010 + na kuendelea huwa ikifika 2025 maana yake nitajivuta nachukua ya 2015.. kuna mdau mmoja alinipa ushauri wa kitaalamu. Kuwa gari ambayo imezalishwa katika miaka 10 kushuka hapo, vipuri vyake huwa vinakuwa na maisha marefu sanaaaaa
UANDAE MIHELA YA MAANA TRA NA BEFOWARD
 
UANDAE MIHELA YA MAANA TRA NA BEFOWARD
Kama karatasi za kupigua kura zinazagaa mtaani, jua kwenye hii nchi kila kitu kibawezekana ni wewe tu 😃😃. Gari tunavuta siku hizi kutoka hapo bondeni tu mkuu... hatwendi mbali sanaaaa... labda kwa dharula tu
 
Kama karatasi za kupigua kura zinazagaa mtaani, jua kwenye hii nchi kila kitu kibawezekana ni wewe tu [emoji2][emoji2]. Gari tunavuta siku hizi kutoka hapo bondeni tu mkuu... hatwendi mbali sanaaaa... labda kwa dharula tu
Kuna siku pale tazara nadhani mwaka jana kulifanyika intensive check up ya magari yote ya deal

Ole wako ubambwe[emoji848]
 
Nilijaribu kuifata Crown barabara ya Manyon kwenda Singida nikiwa na Alphard, ila sikuiona kwa hasira niliwapeleka sana kina Tako la nyani, Harrier old, X-trail na kila gari iliyokuwa mbele yangu.
Alphard sina hamu...[emoji26][emoji26][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji26][emoji26]

Kwa kweli kwa suala la uimara pale Mjapani kachemka....Sizungumzii engine,

Lile body lilivyo kubwa kama basi la shule ya vidudu, lakini laini kama haya mabati ya gauge 30 ...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji26][emoji26]

Jana nilichokiona kwa Alphard, sikuamini...Jamaa kakwaruza bampa la Lorry la Kichina lilikuwa limepaki (Howo)..jamaa alikuwa anataka kupenya mbele ya lorry lililopaki ....

Siendelei zaidi ila Alphard kwa body ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]

Niligusa lile bati sikuamini....bora tu body la IST

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku pale tazara nadhani mwaka jana kulifanyika intensive check up ya magari yote ya deal

Ole wako ubambwe[emoji848]
Hakuna kinachoshindikana hapa tanzania. Na kitu cha deal waweza kukifanya kuwa legal.. ni njia tu za kupita na wengine wakisha fanya deal wana liachia kati kati na labda hao ndio hupata shida .. na kudiswaaa
 
Back
Top Bottom