Sitetei tabia za kuvuta bangi za Chuji na Boban ni wakati wa wadau kumuona Maximo uwezo umefikia pomoni aende zake wazalendo wachukue timu.
Katika historia sijawahi kusikia jeshi lenye askari wasio na nidhamu, likapata mafanikio makubwa vitani.Shuleni walimu walituhimiza kuwa na nidhamu kama kuwahi shule, kuhudhuria vipindi, kuheshimu sheria na taratibu and all those have made the students become good and organized people...team, as an army contigent, must have displined soldiers. kama General, ningejisikia vibaya kama nikisema geuka kushoto halafu kila mtu anafanya anachojisikia kufanya.
Kama issue ni displine basi Maximo yuko sahihi..tusidaganyane hapa Chuji na Boban sio mastaa kiasi hicho labda kibongo bongo. Hawataweza kufika popote kwenye professional football kama hawana displine. Lets dig down the facts kabla ya kusoma fatwa dhidi ya Maximo.
Tukumbuke pia in the army, wars are won in the generals tents, because they normally lay out the plans and strategies to execute the war. Naamini Maximo anataka kuona tunabadili katika mvumo mzima wa mpira wetu kwa kuachana na uyanga na simba na kuunda timu yenye nia na kucheza mpira kwa nidhamu.
Vinginevo hata tukipata kocha gani, kwa wachezaji ambao hawana nidhamu tutabaki kuwafukuza bila kutatua tatizo
Mkubwa huko ulaya watu wengi wamevuta sana bangi lakini hawakufanya mambo mabovu but huku Tanzania mtu unavuta bangi inaleta kiburi,huyo dogo BOBAN hata mazoezi alikuwa anachelewa kuna wakati MAXIMO alimpiga chini wadau wakapiga kelele then akamrudisha sijui issue ya CHUJI but BOBAN alichemsha ile game ya kwanzaMkuu, Bangi isiwe big issue. Wengi tu wanavuta/walivuta ktk umri huo - Michael Phelps, Obama etc.
Maximo siku siku zako zinahesabika stars.maana sasa imekua too much.baada ya kaseja sasa umeamia kwa boban na chuji. hakuna mtu hasiye jua tabia yako umekua mtu wa kuigawa stars sana ingawa stars inashinda simply coz of juhudi binafsi.
Hao kina BOBAN walicheza ile michuano ya kwenda kombe la dunia mbona bado tulichemshaMaximo siku siku zako zinahesabika stars.maana sasa imekua too much.baada ya kaseja sasa umeamia kwa boban na chuji. hakuna mtu hasiye jua tabia yako umekua mtu wa kuigawa stars sana ingawa stars inashinda simply coz of juhudi binafsi.
Timu kama haina uelewano kufungwa ni rahisi na ndicho walichovuna huko Ivory Coast. Nadhani Masikio Maskimo amefika ukomo wake.