Mpaka sasa ni Maximo tu anayeongea na hatujamsikia Chuji na Boban upande wao. Actually mimi ningependelea hawa wawili wakae kimya kwani tunajua what happened in Ivory Coast.
Sina wasiwasi na bandiko lako hapo juu
Nilikuambia usome uliyoyaandika kwa vile umeshindwa kuyasoma nimeyawekea mkazo ili uyaone vizuri. Haiwezekani leo tunaongelea nidhamu ya wachezaji anatokea bazazi mmoja kama wewe unatetea uozo. Watu kama ninyi ndiyo kikwazo cha maendeleo ya soka kwani ndiyo mnaowadanya hawa vijana badala ya kuwarekebisha kwa manufaa yao
Maximo kaitenga timu na hakumchezesha Chuji eti mpaka semi finals kwakuwa alikuwa majeruhi wiki 8. Wakati huohuo cheti cha daktari wa timu kimempa clean bill of health - Chuji anacho hicho cheti. Vilevile Chuji alikuwa na watu wamekuja kumuona live michezo yake na walivyotaka kumuhoji kuhusiana na maswala ya kucheza nje ndipo Maximo akapiga marufuku kuwa hakuna ruksa kuongea na wachezaji bila idhini yake kwanza. Chuji alienda kuomba idhini na Maximo akamtolea nje. Usiku huo hakulala vizuri kiasi kwamba asubuhi alichelewa kuamka na kukosa mazoezi na hapo Maximo akasema Chuji ana utovu wa nidhamu amesusia mazoezi. Wakati huohuo kwenye mazoezi watu wanakwambia Chuji alikuwa mnyama, yaani a beast in practice, akipiga zoezi mpaka watu wanashangaa kwa nini hapangwi?
Baada ya matukio hayo Chuji akawa anajifua sana mwenyewe beach na alisikika akisema yeye sasa anajifua kwa ajili ya timu yake ya Yanga ktk kombe la klabu bingwa Afrika na ndiko ataonekana na kutoka huko. Habari hizi zilipomfikia Maximo ndia ikawa mwisho wa wao kuzungumza, manake hata kusalimiana Maximo hasalimii wala kumjibu!
Maximo has a lot to answer to and the sad fact is that he is being given the benefit of the doubt in this issue. Chuji anaonekana mvuta bangi tu lakini wote tunaopenda mpira tunajua uwezo wake kimpira, Bangi ni nini bwana? It is not even a Performance Enhancing Drug but a "social" drug that is known for ruining ones potential in the long run - for short time relaxation it is da bomb! Peter Tosh said it best - some lawyers, doctors, politicians etc smoke it. Sasa iwe Chuji?!
My suggestion to Chuji and Boban: let sleeping dogs lie!. Muacheni Maximo asemeeee weeee lakini si July anakitoa zake? Kocha anayekuja si atachagua timu yake bwana na si atawaona mchezo wenu?
Stay cool, my brothers, stay cool!!!!