Gelange Vidunda
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 314
- 31
Unaweza kurudi kwenye thread yako na kusoma ulichokiandika? au unataka kunishawishi uliyoyandika ndiyo yanayoeleza jinsi ulivyo? Kama hivyo ndivyo basi na iwe hivyo!
Mpaka sasa ni Maximo tu anayeongea na hatujamsikia Chuji na Boban upande wao. Actually mimi ningependelea hawa wawili wakae kimya kwani tunajua what happened in Ivory Coast.
Sina wasiwasi na bandiko lako hapo juu
Nilikuambia usome uliyoyaandika kwa vile umeshindwa kuyasoma nimeyawekea mkazo ili uyaone vizuri. Haiwezekani leo tunaongelea nidhamu ya wachezaji anatokea bazazi mmoja kama wewe unatetea uozo. Watu kama ninyi ndiyo kikwazo cha maendeleo ya soka kwani ndiyo mnaowadanya hawa vijana badala ya kuwarekebisha kwa manufaa yao
Maximo kaitenga timu na hakumchezesha Chuji eti mpaka semi finals kwakuwa alikuwa majeruhi wiki 8. Wakati huohuo cheti cha daktari wa timu kimempa clean bill of health - Chuji anacho hicho cheti. Vilevile Chuji alikuwa na watu wamekuja kumuona live michezo yake na walivyotaka kumuhoji kuhusiana na maswala ya kucheza nje ndipo Maximo akapiga marufuku kuwa hakuna ruksa kuongea na wachezaji bila idhini yake kwanza. Chuji alienda kuomba idhini na Maximo akamtolea nje. Usiku huo hakulala vizuri kiasi kwamba asubuhi alichelewa kuamka na kukosa mazoezi na hapo Maximo akasema Chuji ana utovu wa nidhamu amesusia mazoezi. Wakati huohuo kwenye mazoezi watu wanakwambia Chuji alikuwa mnyama, yaani a beast in practice, akipiga zoezi mpaka watu wanashangaa kwa nini hapangwi?
Baada ya matukio hayo Chuji akawa anajifua sana mwenyewe beach na alisikika akisema yeye sasa anajifua kwa ajili ya timu yake ya Yanga ktk kombe la klabu bingwa Afrika na ndiko ataonekana na kutoka huko. Habari hizi zilipomfikia Maximo ndia ikawa mwisho wa wao kuzungumza, manake hata kusalimiana Maximo hasalimii wala kumjibu!
Maximo has a lot to answer to and the sad fact is that he is being given the benefit of the doubt in this issue. Chuji anaonekana mvuta bangi tu lakini wote tunaopenda mpira tunajua uwezo wake kimpira, Bangi ni nini bwana? It is not even a Performance Enhancing Drug but a "social" drug that is known for ruining ones potential in the long run - for short time relaxation it is da bomb! Peter Tosh said it best - some lawyers, doctors, politicians etc smoke it. Sasa iwe Chuji?!
My suggestion to Chuji and Boban: let sleeping dogs lie!. Muacheni Maximo asemeeee weeee lakini si July anakitoa zake? Kocha anayekuja si atachagua timu yake bwana na si atawaona mchezo wenu?
Stay cool, my brothers, stay cool!!!!
Whatever, mkuu, you are entitled to your own opinion just as I am entitled to mine.
Hivi hudhani kuwa wewe kupinga niliyoandika unaquestion my right to my own opinion?
As I said before, man, kaazi kwelikweli!!
hivi jamani hili swala la watu kuvuta bangi mbona halijawa proved mahala popote???na kama kweli wanavuta ina maana walianza kuvuta baada ya kukwalifai kwenye CHAN???MIMI SITAKUBALIANA NA MAXIMO HADI PALE ATALKAPO TAMKA HADHARANI SABABU ZA KUWATOSA!!NI UTOVU UPI WA NIDHAMU???HE MUST BE CLEAR.mie naona anawafa wachezaji kuwa waoga wa kuhoji kitu chochote hata kama maximo atakuwa wrong.kwa sababu atakutimu kwenye timu na hakuna atakayehoji,kwasababu ameshatukalia kichwani na hata hao waliomwajiri wanamuogopa.ataunda kikosi kipya hadi lini??????alipeleka timu brazil kwa mwezi tukarudi tukalimwa 4 na senegal!!hatukuweka kambi ya muda mrefu kwenye mechi zilizofuata,tukafanya vizuri kidogo.mechi ya mwisho dhidi ya msumbiji,tuliweka kambia kama 3weeks,tukachemsha,kufuzu kwenda angola na south africa,mechi za mwanzoni tulichemsha baada ya wachezaji kukaakambini na maximo kwa almost mwezi.zilizofuta kambi ilikuwa max. 1week,na timu ikafanya vizuri.Hapo tunagundua kuwa makocha wazuri wako kwenye clubs,!maximo nachohitaji ni just kwafanya wacheze kitimu na kumaitain nidhamu(kitu ambacho ameshindwa,mtu akikosa badala a kumrekebisha,yeye anakimbilia kumfukuza au kumchimba mkwara)IN SHORT HE IS A FAILURE,NA TUNAKOELEKEA NI KUWA ATATUVURUGIA SOKA LETU NA KUVUNA MSHIKO WAKE NA KUTIMUA.Uhuru wa kuhoji unao, lakini sitakaa kimya nikuachie kutetea ujinga, bangi kwa wachezaji marufuku. Na kama utaendelea kuitetea basi rejea thread yangu hapo awali kwamba nikuelewe kuwa na wewe ndivyo ulivyo.
Uvivu, utovu wa nidhamu, kutofuata maelekezo vinatosha kabisa kuwapiga chini waachezaji. Tumekuwa tukishindwa kupiga hatua na kufikia viwango vinavyokubalika ni kwa sababu kuna makundi ndani ya wadau wa soka ambao wanawashauri vibaya hawa vijana. Leo hii hawa vijana wakisikia kuwa kuna watu wanatetea uvutaji bangi, kutomtii mwalimu unadhani unawatakia mema?
Uhuru wa kutoa mawazo yako pia uendane na haki na wajibu wako katika jamii unayoishi.