October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mwalimu wao mlimtetemesha kwa maoni yake ingawa sikuyajua hayo maoni alitoa yalikuwa yapi !!! Naona bado hamjaamini...kama alishamwaga 'sumu' ama lah! Watoto wa Kingalu hawana baya!!!Mazimbu
Kwan we wa sehem gan?Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye.
Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu.
Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye.
Kule igumelo kahama nyee. Ilula pale vijana wachangamka kuliko Nye. Koba koba koba wee. Na bado
Mgogo huyo mkuuKwan we wa sehem gan?
Kahama uifananishe na Morogoro?Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye.
Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu.
Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye.
Kule igumelo kahama nyee. Ilula pale vijana wachangamka kuliko Nye. Koba koba koba wee. Na bado
Hujamuelewa. Siyo ukubwa wa mji bali kwenye harakati za kupigania uhuru wa pili.Kahama uifananishe na Morogoro?
D9 imejifia kifo cha mendeMoro wanakiwasha D9
Nimemuelewa bado kahama ilivyopinda huwezi ilinganishaHujamuelewa. Siyo ukubwa wa mji bali kwenye harakati za kupigania uhuru wa pili.
MO29 Morogoro Genz hawakushiriki wakati mji mdogo kama Kahama watu waliandamana.
Sawa, ni kesho kutwa tu hapoD9 imejifia kifo cha mende
Kila la kheri mkuu afwile munu asigale munuSawa, ni kesho kutwa tu hapo
Na badoKahama uifananishe na Morogoro?
Exactly 💯 brotherImagine sisi tulikuwa Nanjirinji na tulikiwasha vibaya tarehe 29 October.
Kwa hakika maandamano kunahitaji kujitoa wala si wingi wa watu.
Cc Vincenzo Jr