Ati ‘Mji kasoro bahari’ watia aibu hehee! Mji gani washindwa mpaka na Mafinga, Kahama

Ati ‘Mji kasoro bahari’ watia aibu hehee! Mji gani washindwa mpaka na Mafinga, Kahama

Mo misukule pale ndo mizimu ya ccm ilipo wote washafanywa miskukule
 
Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye.

Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu.

Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye.

Kule igumelo kahama nyee. Ilula pale vijana wachangamka kuliko Nye. Koba koba koba wee. Na bado
Karibu Hipo Hipo hapa ule kitimoto mzee wa mayi!
 
Tatizo sio kuandamana tatizo unafia nini watu wamekufa elfu 10 halafu kama hakijatokea kitu
 
Back
Top Bottom