kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,791
- 12,225
Daaah,bonge la mji tena?🤣🤣🤣pendeni kwenu,mpaendeleze sio mnakimbilia dar,mnang'ang'ana mmezaliwa posta mpya.hata kurudi kusalimia hamtaki tena 🤣,mnakaa mnamshangaa magufuli kurudi chato mara kwa maraKwa mawazo yako tu inaonekana Dar ni Bonge la Mji kwako.
magufuli mjanja anapaendeleza kwao anajua baada ya harakati zote atarudi chato tu.