ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Hakuna kitu Cha ajabu niliwahi tembelea Mbeya eneo linaitwa ubaruku wilaya ya mbarali 2016 niliikuta ATM ya maji safi,sema hiyo imepewa promo tu hakuna jipya.
Ulikuta gati la maji afu we unaita ATM bro.
 

Wkt Mbeya mkuu wao wa mkoa alizindua lift ya kwanza ndani ya mkoa huo mwaka 2015,mpk Mbeya waje wapate ATM ya maziwa itakua 2025 wkt huo Moshi kutakua kuna ATM za mbunye we ni kuchagua tu ya buku 5,buku 10 etc
 
Hahah aisee
 
Hizo ATM za maji zipo kila mahali mkuu kwa wale waliosoma UDSM kuna Moja pale Yombo cafeteria ya kitambo kabisa hivyo sio ishu mpya

Ishu ni inayotoa maziwa ndio ya kwanza Tanzania
Yani kuna mtu aligundua watsap ikawa msaada, halafu akaja mtu mwingine kudevelop snapchat au jamii forum hauwezi kusema sio ubunifu eti kwasababu watsap ilikuwepo

Kuna watu watapenda watsap na wengine watapenda mitandao mingine ya kijamii
Hakuna kitu Cha ajabu niliwahi tembelea Mbeya eneo linaitwa ubaruku wilaya ya mbarali 2016 niliikuta ATM ya maji safi,sema hiyo imepewa promo tu hakuna jipya.
 
Tatizo la maji salama ni tatizo la ki 'sera'
Yani sera ya nchi juu ya upatikanaji wa maji kwanza halafu usafi na usalama
Mtu au kikundi kimoja hakina uwezo wa kulibeba hili na kiwapatia maji safi na salama watu wote wa Moshi na Tanzania kwa ujumla wake

Sioni shida ya kuwapongeza vijana kwa ubunifu wao.


na hio ni first page tu ya google nimesearch.., kumbuka pia kuna tofauti kati ya maji na maji safi na salama.., kuna watu wanakaa mita 70 toka ziwani ila its not necessarily hayo maji ni safi na salama
 
Hizo ATM za maji zipo kila mahali mkuu kwa wale waliosoma UDSM kuna Moja pale Yombo cafeteria ya kitambo kabisa hivyo sio ishu mpya

Ishu ni inayotoa maziwa ndio ya kwanza Tanzania
Yani kuna mtu aligundua watsap ikawa msaada, halafu akaja mtu mwingine kudevelop snapchat au jamii forum hauwezi kusema sio ubunifu eti kwasababu watsap ilikuwepo

Kuna watu watapenda watsap na wengine watapenda mitandao mingine ya kijamii
Nakubaliana na napongeza Sana ujio wa ATM za maziwa lakini ninachosema watu wamezi'overate' kupita kawaida 'as if' hakuna machine zinazofanana na hizo kuwepo.
 
Hayo maziwa ni hela?
Hiyo inatakiwa kuitwa drinks vending machine/ milk vending machine. Kwa wenzetu walioendelea hapa duniani zipo nyingi tu hizo.

 
Tatizo la maji salama ni tatizo la ki 'sera'
Yani sera ya nchi juu ya upatikanaji wa maji kwanza halafu usafi na usalama
Mtu au kikundi kimoja hakina uwezo wa kulibeba hili na kiwapatia maji safi na salama watu wote wa Moshi na Tanzania kwa ujumla wake

Sioni shida ya kuwapongeza vijana kwa ubunifu wao.
Naona hapa najirudia wewe umequote qoute yangu ya mjadala umefikia katikatika sipo ulipoanzia..

Moja hapo hakuna ubunifu hii kitu sio mpya ni vending machines zipo tangia miaka ya 1880's hii issue sio mpya wala ngeni..

Pili niliuliza swali kuna umuhimu wa hii mashine sababu hii mashine inakuja na gharama za uendeshaji katika location husika, (services, umeme refilling n.k.), kwahio hapo mtu inabidi uangalie costs za hii mashine ulinganisha na muuzaji wa kawaida dukani na fridge ya kawaida (kumbuka huku labor cost is cheap)

Tatu; ukiangalia ile machine kulikuwa kuna label kwamba ni Hisani ya kuwawezesha wakulima nadhani katika mambo ya maziwa sales n.k. (kwahio kuna funds zilizokuwepo) sisemi kwamba zimefujwa ila swali lazima liulizwe kama ni sustainable issue kama hii,

Nne, suala la maji ndio maana nikasema its could have been better kwenye nchi ambayo wengi wanakunywa maji ambayo siyo salama kuweka vending mashines za maji sehemu nyingi zaidi kuliko kuleta solution ambayo ilikuwa haina tatizo, retailers wapo wa kutosha huyo jirani mwenye mmpesa angeweza pia kuuza hayo maziwa yangekuwa packed efficiently, au hata hio hio kampuni ingekuwa na recycled bottles za kuuza maziwa watu wana bills wanafuata au wanapelekewa kila siku... na hii sio mpya pia...
 
Back
Top Bottom