imenunuliwa ikafungwa hapo?
Mkuu wewe unaishi wapi wanaotupa takataka ovyo wanatoka sayari gani? wanaokojoa barabarani wanatoka wapi? ujinga hauna mipaka sisi ma software engineer kuna kitu kinaitwa exception handling lazima ufikirie scenario ambazo sio za akwaida sababu akiri za watu ni tofauti kwenyue matumizi ya vitu hata uweke manual.Yani kuna comment zinashangaza na kufikirisha Sana! Yani Mtu aweke sumu au uchafu kwenye maziwa? Ama kweli kwenye wengi pana mengi! Sikujua Kama kuna sehemu watu wana ustaarabu wa kishamba hivyo hadi kufanya hayo.
Anyway, Tanzania ni kubwa sana. Na inaelekea wengi wanafungua maji tu bombani ila hawajui catchment area za maji wanayotumia bombani ziko vipi. Mungu atunusuru kama bado kuna watu Wenye mawazo primitive kama hayo.
Unachokisema ni sahihi. Ila sio katika extent hiyo ya kuweka sumu sijui uchafu.. Ndio maana nimekwambia kuhusu hayo maeneo ya vyanzo vya maji vinavyokuwa.Mkuu wewe unaishi wapi wanaotupa takataka ovyo wanatoka sayari gani? wanaokojoa barabarani wanatoka wapi? ujinga hauna mipaka sisi ma software engineer kuna kitu kinaitwa exception handling lazima ufikirie scenario ambazo sio za akwaida sababu akiri za watu ni tofauti kwenyue matumizi ya vitu hata uweke manual.
Mbona Dar zipo ATM za soda na za kondomu , cha ajabu ni nini! Labda tu kama ni maziwa ya mwanamke.Nchini Tanzania wengi wao wanaposikia ATM kitu cha kwanza wanachoweza kufikiri huenda ikawa ni sehemu ya kutolea fedha,
Lakini huko Kaskazini mwa Tanzania katika mkoa wa Kilimanjaro ipo ATM ya kwanza ya maziwa ambayo imekuwa kivutio kwa wakazi wa mkoa huo.
View attachment 1274847
Hii habari ilishapita humu miezi kadhaa iliyopita, by the way ahsante kwa kushare.
Hahah eti kishumundu.Tusimshangae mkuu ameingia leo mjini kutoka kishumundu.
no wonder hatuendelei kwa sababu badala ya kuangalia ni vipi mwananchi katika mazingira yetu atapata huduma zote kulingana na mazingira yetu tunataka kuwa kama nchi za magharibi.., kabla ya kuwaza kuwa na vending machine ya maziwa ni bora kwanza tukawaza ni vipi kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama let alone hata glasi ya maziwa...
kuthubutu kwa vitu ambavyo cost yake ni kubwa ni waste of money.., kumbuka hapa issue sio if its possible bali ni if it makes economic sense.. (by the way sisemi it does not sijafanya research ya soko lao) ila hii inaangaliwa kibiashara zaidi sio kiteknolojia as its not a new thing....
Kwani ni eneo gani Moshi kuna tatizo la maji mkuu?
Mbona watu walishapita huko.
Wachaga sio watu wa mchezo mchezo ni ma geniusMkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi mtaa wa chaga karibu na soko la kati
ATM hii ina uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha. Unaweza pata kuanzia Tsh 50, 100, 400, 600, 1000, 2000, na kuendelea.
Karibuni mnywe maziwa.
View attachment 1222866View attachment 1222867View attachment 1222868View attachment 1222869View attachment 1222870View attachment 1222872View attachment 1222873
Kunywa maziwa kwa afyaMkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi mtaa wa chaga karibu na soko la kati
ATM hii ina uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha. Unaweza pata kuanzia Tsh 50, 100, 400, 600, 1000, 2000, na kuendelea.
Karibuni mnywe maziwa.
View attachment 1222866View attachment 1222867View attachment 1222868View attachment 1222869View attachment 1222870View attachment 1222872View attachment 1222873
HoyeeWachagaa oyeee
Ubaruku kule kwa waburushi? Hii ya kwetu Moshi Ni ya kipekee haipo Tanzania nzima karibu kilimanjaroHakuna kitu Cha ajabu niliwahi tembelea Mbeya eneo linaitwa ubaruku wilaya ya mbarali 2016 niliikuta ATM ya maji safi,sema hiyo imepewa promo tu hakuna jipya.