Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Maendeleo gani hayo ya kipuuzi huko uchagani,hii ilitakiwa ifungwe mwanza bhana kwanza ndiko kwenye maziwa ya kutosha...!/mmefungiwa na wazungu au wakina nani?
no wonder hatuendelei kwa sababu badala ya kuangalia ni vipi mwananchi katika mazingira yetu atapata huduma zote kulingana na mazingira yetu tunataka kuwa kama nchi za magharibi.., kabla ya kuwaza kuwa na vending machine ya maziwa ni bora kwanza tukawaza ni vipi kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama let alone hata glasi ya maziwa...Hata wakifeli watakua walithubutu na wataingia kwny records za 'ATM' ya kwanza ya Maziwa Tz wkt ambapo mikoa mingine nchini walikua ndo kwanza wakihimizana umuhimu wa kutumia vyoo.
ntombanoko,,Wkt Mbeya mkuu wao wa mkoa alizindua lift ya kwanza ndani ya mkoa huo mwaka 2015,mpk Mbeya waje wapate ATM ya maziwa itakua 2025 wkt huo Moshi kutakua kuna ATM za mbunye we ni kuchagua tu ya buku 5,buku 10 etc
Acha ujinga hicho ni chakula cha binadamu wanaoweka upupu kwenye maji vyoo vya umma wanatoka mwenzini? Huo mradi ni wa ufahari ila hauna umuhimu wowote.Huko kwa mtu akili poisons machine mbona tulshavuka zamaniii, ai poison ili iwe Je?
Mzee wako hatopeleka TBS, TRA, TFDA? Kama alivyo ua Kilimanjaro Maraton?Sasa njoo na Moshi ujionee 'ATM' ya maziwa.
Ulivyo vitaja kwann uaifanye wewe? Waafrica bhana ndiyo maana hatuendelei...no wonder hatuendelei kwa sababu badala ya kuangalia ni vipi mwananchi katika mazingira yetu atapata huduma zote kulingana na mazingira yetu tunataka kuwa kama nchi za magharibi.., kabla ya kuwaza kuwa na vending machine ya maziwa ni bora kwanza tukawaza ni vipi kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama let alone hata glasi ya maziwa...
kuthubutu kwa vitu ambavyo cost yake ni kubwa ni waste of money.., kumbuka hapa issue sio if its possible bali ni if it makes economic sense.. (by the way sisemi it does not sijafanya research ya soko lao) ila hii inaangaliwa kibiashara zaidi sio kiteknolojia as its not a new thing....

Kwahio mtu usipofanya kitu hauna mandate ya kuongelea kitu ?, au unadhani kuongelea au kutoa suggestion au mawazo nayo haina nafasi katika kujenga ?Ulivyo vitaja kwann uaifanye wewe? Waafrica bhana ndiyo maana hatuendelei...
Wewe jamaa uko na ujinga mwingi sana sijawahi kuona... Niache nilale unaweza kuniambukizia huo ujinga wakoKwahio mtu usipofanya kitu hauna mandate ya kuongelea kitu ?, au unadhani kuongelea au kutoa suggestion au mawazo nayo haina nafasi katika kujenga ?
Maendeleo ni stage, huwezi kukwepa stage 2 ukaenda stage ya 4 ndiyo madhara yake lakini huko Moshi ni kawaida sana kwa wananchi wa kule,ukiziweka usukumani utakuta mtu anachukua dawa mpaka za wajukuu zake, anawachukulia.
Hahah polepole asikusikie huchelewi kusikia kikosi kazi kimetumwa chap.Mzee wako hatopeleka TBS, TRA, TFDA? Kama alivyo ua Kilimanjaro Maraton?
Ni vyema hizo machine za kuhakikisha kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama uwawekee wewe,tumeshaonyesha njia kwa kuweka 'ATM' ya maziwa.no wonder hatuendelei kwa sababu badala ya kuangalia ni vipi mwananchi katika mazingira yetu atapata huduma zote kulingana na mazingira yetu tunataka kuwa kama nchi za magharibi.., kabla ya kuwaza kuwa na vending machine ya maziwa ni bora kwanza tukawaza ni vipi kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama let alone hata glasi ya maziwa...
kuthubutu kwa vitu ambavyo cost yake ni kubwa ni waste of money.., kumbuka hapa issue sio if its possible bali ni if it makes economic sense.. (by the way sisemi it does not sijafanya research ya soko lao) ila hii inaangaliwa kibiashara zaidi sio kiteknolojia as its not a new thing....
Mwanza acha wenyewe waendelee tu kushangaa daraja la Furahisha na kupiga picha pale Kwny Samaki.Maendeleo gani hayo ya kipuuzi huko uchagani,hii ilitakiwa ifungwe mwanza bhana kwanza ndiko kwenye maziwa ya kutosha...!/mmefungiwa na wazungu au wakina nani?
Ntombanewe.ntombanoko,,
hauhitaji mashine watu kupata maji masafi na salama.., ingawa hilo ni tatizo linalotusibu kwa asilimia kubwa (pia sijaona tatizo la supply chain ya maziwa mijini ambako kila hatua tatu kuna corner shop..) au vijijini kwenye wafugaji lukuki....Ni vyema hizo machine za kuhakikisha kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama uwawekee wewe,tumeshaonyesha njia kwa kuweka 'ATM' ya maziwa.