ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Tunaposema kilimanjaro ni wabumifu,wasomi,wachapakazi huwa hatubahatishi,elimu waliyopata watu wa kilimanjaro ina reflect,sio Kama wale wengine waliokalia mbwembwe alafu kwao hata ubunifu wowote hawana
Wana wa kilimanjaro Ni Kama wa Israel kwa jinsi walivyo na akili nyingi na kuwaza maendeleo,ndio maana kila pembe ya nchi hii huwakosi wanafanya biashara pia Ni wasomi wamejaa maofisini ktk Dani mbalimbali tena za maana
Hongereni watu wa kilimanjaro wale waliokimbia umande wataanza majungu,pia wale wavivu na wenye chuki
Jurrasic Park
instanbul
The Great Haya
Sky Eclat
chuma cha mjerumani
Upepo wa Pesa
The only
DASM
tinkanyarwele
usinijibu hivyo
Mamaya
mliberali
Windhoek
sundoka
Tupeni siri basi, wenzenu huku kwetu ni GAMBOSH, chuki za kichama, kumbe ndio maana watu huwa wanawasema vibaya, leo nimejua aisee.

natamani niozeshe binti yangu huko kwenu , kanamalizia chuo hapo SUA Morogozro,

unajua ukisema binti yako anaolewa na mchagaa kitu cha kwanza watu watakupongeza na kukwambia atakuwa na maendeleo
 
Hivi ATM ni nini ?

Pili hizi vending machine zipo sehemu nyingi ambapo unakuta cost ya kuweka muuzaji au supplier /retailer n.k. ni kubwa kuliko gharama za running cost ya hio machine (umeme, service n.k.) as well as mtu wa kurefill na kuifanyia service..

Hongera zao siwezi ingawa kufanikiwa kwao kutategemea sana gharama za uendeshaji as well as ustaarabu wa watu husika...
Ilitakiwa iitwe milk vending machine lakini tumeelewa
 
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi mtaa wa chaga karibu na soko la kati

ATM hii ina uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha. Unaweza pata kuanzia Tsh 50, 100, 400, 600, 1000, 2000, na kuendelea.

Karibuni mnywe maziwa.

View attachment 1222866View attachment 1222867View attachment 1222868View attachment 1222869View attachment 1222870View attachment 1222872View attachment 1222873
Duh kasheshe! Nini mrefu cha ATM? Wenye lugha yao kwenye nchi zao wanaziita vending machines. Kuna za coca, Pepsi na snacks kama chips nyembamba na chocolate.
 
Tunaposema kilimanjaro ni wabumifu,wasomi,wachapakazi huwa hatubahatishi,elimu waliyopata watu wa kilimanjaro ina reflect,sio Kama wale wengine waliokalia mbwembwe alafu kwao hata ubunifu wowote hawana
Wana wa kilimanjaro Ni Kama wa Israel kwa jinsi walivyo na akili nyingi na kuwaza maendeleo,ndio maana kila pembe ya nchi hii huwakosi wanafanya biashara pia Ni wasomi wamejaa maofisini ktk Dani mbalimbali tena za maana
Hongereni watu wa kilimanjaro wale waliokimbia umande wataanza majungu,pia wale wavivu na wenye chuki
Jurrasic Park
instanbul
The Great Haya
Sky Eclat
chuma cha mjerumani
Upepo wa Pesa
The only
DASM
tinkanyarwele
usinijibu hivyo
Mamaya
mliberali
Windhoek
sundoka
Hapa ndipo mnaharibu sasa!
 
Wkt Mbeya mkuu wao wa mkoa alizindua lift ya kwanza ndani ya mkoa huo mwaka 2015,mpk Mbeya waje wapate ATM ya maziwa itakua 2025 wkt huo Moshi kutakua kuna ATM za mbunye we ni kuchagua tu ya buku 5,buku 10 etc
Hizi rayari zipo malindi mzee
 
Hivi ATM ni nini ?

Pili hizi vending machine zipo sehemu nyingi ambapo unakuta cost ya kuweka muuzaji au supplier /retailer n.k. ni kubwa kuliko gharama za running cost ya hio machine (umeme, service n.k.) as well as mtu wa kurefill na kuifanyia service..

Hongera zao ingawa kufanikiwa kwao kutategemea sana gharama za uendeshaji as well as ustaarabu wa watu husika...
Hata wakifeli watakua walithubutu na wataingia kwny records za 'ATM' ya kwanza ya Maziwa Tz wkt ambapo mikoa mingine nchini walikua ndo kwanza wakihimizana umuhimu wa kutumia vyoo.
 
Hivi Cocacola/Pepsi walishindwa kuweka atm za soda?

Kwa nini waingie gharama za logistics & man power kama kuweka atm ni rahisi kiasi hiko?

Jibu ni moja tuu: Biashara kama hizi zinafaa umfuate consumer sio consumer ndio aifuate bidhaa yako

Mfano hapo mtu akinunua maziwa akakuta yameshaharibika pesa yake anairudishaje?


Cc Unforgetable[/b]

ATM ya Pepsi ipo uwanja wa ndege Dar , karibu na arrival gate !
 
Back
Top Bottom