ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Hiyo sio ATM Machine bali inaitwa Vendor machine, ambayo unanunua bidhaa kwa kiwango cha unacho weza lipia
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi mtaa wa chaga karibu na soko la kati

ATM hii ina uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha. Unaweza pata kuanzia Tsh 50, 100, 400, 600, 1000, 2000, na kuendelea.

Karibuni mnywe maziwa.

View attachment 1222866View attachment 1222867View attachment 1222868View attachment 1222869View attachment 1222870View attachment 1222872View attachment 1222873
 
Aiseee kumbe hiyo nayo ni ajabu!!!
Hapo Kenya zimejaa karibu kila mtaa!!!
Hahaaaah nimecheka mno.
 
no wonder hatuendelei kwa sababu badala ya kuangalia ni vipi mwananchi katika mazingira yetu atapata huduma zote kulingana na mazingira yetu tunataka kuwa kama nchi za magharibi.., kabla ya kuwaza kuwa na vending machine ya maziwa ni bora kwanza tukawaza ni vipi kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama let alone hata glasi ya maziwa...

kuthubutu kwa vitu ambavyo cost yake ni kubwa ni waste of money.., kumbuka hapa issue sio if its possible bali ni if it makes economic sense.. (by the way sisemi it does not sijafanya research ya soko lao) ila hii inaangaliwa kibiashara zaidi sio kiteknolojia as its not a new thing....
We vipi, yaani unauliza glasi ya maji moshi....we utakuwa msukuma wewe.....Moshi hakunaga shida ya maji bwege we we.. .Kuhusu maji wenzio walishamaliza toka enzi za mkoloni
 
Wachagga mnanini lakini?
kwanini mnapenda kutusi watu wengine?
mnaudhi sanaaa.

Wakati sisi huku Usukumani tunakusanyika " gambosh" mia saba kumloga mtu yeyote atakayempinga magufuli nyie mnazindua ATM ya MAZIWA.

nyie si watanzania, ni wa ISRAEL , huku mpo kwa bahati mbaya tu.

shikamooni wachagga wote.

Kwa sauti ya chini kabisa alisikika Mchaga mmoja akijisifu na kuwatusi akina Shija.
 
We vipi, yaani unauliza glasi ya maji moshi....we utakuwa msukuma wewe.....Moshi hakunaga shida ya maji bwege we we.. .Kuhusu maji wenzio walishamaliza toka enzi za mkoloni
kuna shida ya maziwa ?, au wauzaji wa maziwa ?..., Fikiria nje ya Box..., moja ni tatizo ambalo linahitaji solution na jingine ni solution ambayo kulikuwa hakuna tatizo...., Tatizo la maji safi na salama sio la Moshi tu au Tanzania ni Dunia nzima...
 
Vending Machine za condom mara nyingi utazikuta kwenye vyoo vya bar na clubs
 
Usalama na ubora wa maziwa ukoje?

Kama maziwa yamekaa wiki utajuaje
 
Yani kuna comment zinashangaza na kufikirisha Sana! Yani Mtu aweke sumu au uchafu kwenye maziwa? Ama kweli kwenye wengi pana mengi! Sikujua Kama kuna sehemu watu wana ustaarabu wa kishamba hivyo hadi kufanya hayo.

Anyway, Tanzania ni kubwa sana. Na inaelekea wengi wanafungua maji tu bombani ila hawajui catchment area za maji wanayotumia bombani ziko vipi. Mungu atunusuru kama bado kuna watu Wenye mawazo primitive kama hayo.
Acha ujinga hicho ni chakula cha binadamu wanaoweka upupu kwenye maji vyoo vya umma wanatoka mwenzini? Huo mradi ni wa ufahari ila hauna umuhimu wowote.
 
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi mtaa wa chaga karibu na soko la kati

ATM hii ina uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha. Unaweza pata kuanzia Tsh 50, 100, 400, 600, 1000, 2000, na kuendelea.

Karibuni mnywe maziwa.

View attachment 1222866View attachment 1222867View attachment 1222868View attachment 1222869View attachment 1222870View attachment 1222872View attachment 1222873
Aisee
 
Wkt Mbeya mkuu wao wa mkoa alizindua lift ya kwanza ndani ya mkoa huo mwaka 2015,mpk Mbeya waje wapate ATM ya maziwa itakua 2025 wkt huo Moshi kutakua kuna ATM za mbunye we ni kuchagua tu ya buku 5,buku 10 etc
Leo amezindua viboko mashuleni...
 
Hivi Cocacola/Pepsi walishindwa kuweka atm za soda?

Kwa nini waingie gharama za logistics & man power kama kuweka atm ni rahisi kiasi hiko?

Jibu ni moja tuu: Biashara kama hizi zinafaa umfuate consumer sio consumer ndio aifuate bidhaa yako

Mfano hapo mtu akinunua maziwa akakuta yameshaharibika pesa yake anairudishaje?


Cc Unforgetable[/b]
TBL na SBL nao wangeweka ATM zao kila mtaa nahisi baa,pub na grocery zingepungua
 
Hivi Cocacola/Pepsi walishindwa kuweka atm za soda?

Kwa nini waingie gharama za logistics & man power kama kuweka atm ni rahisi kiasi hiko?

Jibu ni moja tuu: Biashara kama hizi zinafaa umfuate consumer sio consumer ndio aifuate bidhaa yako

Mfano hapo mtu akinunua maziwa akakuta yameshaharibika pesa yake anairudishaje?


Cc Unforgetable[/b]


Kwa jinsi watanzania tulivyo lazima hiyo biashara itaingia dosari kutokana na uzembe na kutojali masharti ya uendeshaji wa biashara za namna hiyo, siyo ajabu kuona siku moja haifanyi kazi imebaki kama maonyesho, siyo ajabu siku moja kuona watu wametumbukiza vijiti badala ya fedha, siyo ajabu kuona siku moja kuona imehujumiwa kwa namna yoyote ile kwakuwa inareplace human labour, tukumbuke zilivyohujumiwa mashine za stamp miaka ile
 
Yaani hayo mapungufu yoooote unayoyaona kwanini wewe usi-take chance ukapiga hela/ukanufaisha jamii kutokana na mapungufu ya project hio?

Talk is cheap mkuu.
hauhitaji mashine watu kupata maji masafi na salama.., ingawa hilo ni tatizo linalotusibu kwa asilimia kubwa (pia sijaona tatizo la supply chain ya maziwa mijini ambako kila hatua tatu kuna corner shop..) au vijijini kwenye wafugaji lukuki....

hata huko walipogundua vending machine wanaziweka sehemu kulingana na location..., nimeona hapo kuna label mradi umefadhiliwa na milk for profit...,I hope walifanya due diligence ya hizo profit vizuri sababu nina uhakika hayo maziwa wangempa huyo jirani mwenye airtel money auze kwenye fridge yake huenda faida ingekuwa maradufu na muuzaji risk ya umeme kukatika au hitilafu kwenye vending machine na mzigo wote kuharibika usingekuwepo...
 
Hivi Cocacola/Pepsi walishindwa kuweka atm za soda?

Kwa nini waingie gharama za logistics & man power kama kuweka atm ni rahisi kiasi hiko?

Jibu ni moja tuu: Biashara kama hizi zinafaa umfuate consumer sio consumer ndio aifuate bidhaa yako

Mfano hapo mtu akinunua maziwa akakuta yameshaharibika pesa yake anairudishaje?


Cc Unforgetable[/b]
Wrong mentality! Inapokorofisha Atm ya fedha, unafanyaje?
 
Wkt Mbeya mkuu wao wa mkoa alizindua lift ya kwanza ndani ya mkoa huo mwaka 2015,mpk Mbeya waje wapate ATM ya maziwa itakua 2025 wkt huo Moshi kutakua kuna ATM za mbunye we ni kuchagua tu ya buku 5,buku 10 etc
Hahaha aisee ,unachagua tu iliyonyolewa au yenye rasta
 
Back
Top Bottom