Mimi HapanaMnafaidi
Wewe ndo hujaendelea. Mambo ya glasi ya maji safi moshi hakuna anaejua shida ya maji maana hata mamlaka ya maji ina uwezo wa zaidi ya 100% kusambaza maji. Maji safi yanapatikana hadi kwenye mabomba ya vyoo vya stand ukiingia na glasi unakunywa.no wonder hatuendelei kwa sababu badala ya kuangalia ni vipi mwananchi katika mazingira yetu atapata huduma zote kulingana na mazingira yetu tunataka kuwa kama nchi za magharibi.., kabla ya kuwaza kuwa na vending machine ya maziwa ni bora kwanza tukawaza ni vipi kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama let alone hata glasi ya maziwa...
kuthubutu kwa vitu ambavyo cost yake ni kubwa ni waste of money.., kumbuka hapa issue sio if its possible bali ni if it makes economic sense.. (by the way sisemi it does not sijafanya research ya soko lao) ila hii inaangaliwa kibiashara zaidi sio kiteknolojia as its not a new thing....
Hata maziwa yakikaa mwaka, umeshaambiwa yamesindikwa (processed) hayaaribiki overnight.Usalama na ubora wa maziwa ukoje?
Kama maziwa yamekaa wiki utajuaje
Marahaba mkolomijeWachagga mnanini lakini?
kwanini mnapenda kutusi watu wengine?
mnaudhi sanaaa.
Wakati sisi huku Usukumani tunakusanyika " gambosh" mia saba kumloga mtu yeyote atakayempinga magufuli nyie mnazindua ATM ya MAZIWA.
nyie si watanzania, ni wa ISRAEL , huku mpo kwa bahati mbaya tu.
shikamooni wachagga wote.
Huyu hapaWho is teller by then
Hiyo mashine itawezaje kutofautisha shilingi 50, 100, 200, na 500 za sarafu?
Na je inaweza kutoa chenji kama nimetoa elfu kumi halafu nikanyonya maziwa ya sh 150?
Kunywa tu maziwa mkuu yakiharibika yatakuwa yanaingia automatic upande wa mtindi na biashara inaendelea....Hivi Cocacola/Pepsi walishindwa kuweka atm za soda?
Kwa nini waingie gharama za logistics & man power kama kuweka atm ni rahisi kiasi hiko?
Jibu ni moja tuu: Biashara kama hizi zinafaa umfuate consumer sio consumer ndio aifuate bidhaa yako
Mfano hapo mtu akinunua maziwa akakuta yameshaharibika pesa yake anairudishaje?
Cc Unforgetable[/b]
Hiyo ni dispenser. ATM ni Automated Teller Machine (kwa usahihi wake lazima itumike kwenye masuala ya kibenki tu).
Yaani mmetupita hata sisi wenye akili nyingi na pesaMkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi mtaa wa chaga karibu na soko la kati
ATM hii ina uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha. Unaweza pata kuanzia Tsh 50, 100, 400, 600, 1000, 2000, na kuendelea.
Karibuni mnywe maziwa.
View attachment 1222866View attachment 1222867View attachment 1222868View attachment 1222869View attachment 1222870View attachment 1222872View attachment 1222873
Ngoja ianzishwe huko kwenu Dar muiite dispenser. Sisi ndo tushahamua hamuwezi kutupangia kila kitu
kwanini yaharibike?Hivi Cocacola/Pepsi walishindwa kuweka atm za soda?
Kwa nini waingie gharama za logistics & man power kama kuweka atm ni rahisi kiasi hiko?
Jibu ni moja tuu: Biashara kama hizi zinafaa umfuate consumer sio consumer ndio aifuate bidhaa yako
Mfano hapo mtu akinunua maziwa akakuta yameshaharibika pesa yake anairudishaje?
Cc Unforgetable[/b]
Wachagga mnanini lakini?
kwanini mnapenda kutusi watu wengine?
mnaudhi sanaaa.
Wakati sisi huku Usukumani tunakusanyika " gambosh" mia saba kumloga mtu yeyote atakayempinga magufuli nyie mnazindua ATM ya MAZIWA.
nyie si watanzania, ni wa ISRAEL , huku mpo kwa bahati mbaya tu.
shikamooni wachagga wote.
Hiyo sio ATM Machine bali inaitwa Vendor machine, ambayo unanunua bidhaa kwa kiwango cha unacho weza lipia
Aliyekwambia Moshi wana tatizo la maji safi na salama ni nani??!...maendeleo huwa sio sawa sehemu zote na ndio maana we una simu ya smartphone ila kuna watu wanalala nje. Huwezi sema tusiwe na hiyo smartphone mpaka watu wote wajengewe Nyumba. Kila mtu na kila sehemu ina mahitaji tofauti tofautino wonder hatuendelei kwa sababu badala ya kuangalia ni vipi mwananchi katika mazingira yetu atapata huduma zote kulingana na mazingira yetu tunataka kuwa kama nchi za magharibi.., kabla ya kuwaza kuwa na vending machine ya maziwa ni bora kwanza tukawaza ni vipi kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama let alone hata glasi ya maziwa...
kuthubutu kwa vitu ambavyo cost yake ni kubwa ni waste of money.., kumbuka hapa issue sio if its possible bali ni if it makes economic sense.. (by the way sisemi it does not sijafanya research ya soko lao) ila hii inaangaliwa kibiashara zaidi sio kiteknolojia as its not a new thing....
Duh kasheshe! Nini mrefu cha ATM? Wenye lugha yao kwenye nchi zao wanaziita vending machines. Kuna za coca, Pepsi na snacks kama chips nyembamba na chocolate.
Duh kasheshe! Nini mrefu cha ATM? Wenye lugha yao kwenye nchi zao wanaziita vending machines. Kuna za coca, Pepsi na snacks kama chips nyembamba na chocolate.