Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Hayo mapungufu kuya-solve sio ya kupiga pesa ni kunufaisha jamii; na mengi yanafanywa na pesa za miradi ndio maana nikasema hata hapo nimeona chata ya mwekezaji ambaye ni milk for profit (kwahio nadhani hapo ni kunufaisha watu kwa njia ya kipato)Yaani hayo mapungufu yoooote unayoyaona kwanini wewe usi-take chance ukapiga hela/ukanufaisha jamii kutokana na mapungufu ya project hio?
Talk is cheap mkuu.
Hii dhana kwamba kama haujafanya au huwezi kufanya basi huwezi ukaongelea mapungufu ni myopic way of thinking ambayo hainufaishi mtu yoyote, pia kumbuka mimi kama mteja ambaye naweza kununua au nanunua maziwa comment zangu ni muhimu sana kwa mtengenezaji ili kuboresha anachofanya