Wachaga mnakwama wapi? Hivi ATM maanaake Nini? Napita tuu lakini mmekuwa wakinga na nyie
Who is teller by thenAutomated Teller Machine. We umekremu kwamba atm ni ya pesa tu nini arif? Hakuna neno pesa kwenye atm yani ni mashine inayofanya kazi kwa niaba ya mtu kidigitali
Je, hii nayo yaitwa "ATM"
Hili neno "MILK ATM" ni Lugha gani imetumikaa...???
Automated Teller Machine. We umekremu kwamba atm ni ya pesa tu nini arif? Hakuna neno pesa kwenye atm yani ni mashine inayofanya kazi kwa niaba ya mtu kidigitali
A- AutomaticWachaga mnakwama wapi? Hivi ATM maanaake Nini? Napita tuu lakini mmekuwa wakinga na nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi sanaKwakuwa wewe ni Gambosh, team ukabila, usiyependa kujifunza,hutakaa ujue maana ya ATM YA MAZIWA
AUTOMATIC TAKE MILK -ATM
Kwa Moshi level izo tulishavuka mkuuno wonder hatuendelei kwa sababu badala ya kuangalia ni vipi mwananchi katika mazingira yetu atapata huduma zote kulingana na mazingira yetu tunataka kuwa kama nchi za magharibi.., kabla ya kuwaza kuwa na vending machine ya maziwa ni bora kwanza tukawaza ni vipi kila mtu atapata hata glasi ya maji safi na salama let alone hata glasi ya maziwa...
kuthubutu kwa vitu ambavyo cost yake ni kubwa ni waste of money.., kumbuka hapa issue sio if its possible bali ni if it makes economic sense.. (by the way sisemi it does not sijafanya research ya soko lao) ila hii inaangaliwa kibiashara zaidi sio kiteknolojia as its not a new thing....
Sijui nako watasema wazaramo ndo waliweka!!Huu mzgo uliwekwa dit kwa ajili ya maji baada ya wki hilo vumbi kwenye maji sio la kitoto usafi muhimu sana
Aiseee
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi mtaa wa chaga karibu na soko la kati
ATM hii ina uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha. Unaweza pata kuanzia Tsh 50, 100, 400, 600, 1000, 2000, na kuendelea.
Karibuni mnywe maziwa.
View attachment 1222866View attachment 1222867View attachment 1222868View attachment 1222869View attachment 1222870View attachment 1222872View attachment 1222873
Automatic Take Milk --- ATMSina wivu na Mchaga yoyote, binafsi nataman kuhabarishwa...
Je, hii nayo yaitwa "ATM"
Hili neno "MILK ATM" ni Lugha gani imetumikaa...???
Hio si auto milk dispenser, huwezi kuiita ATM which is specifically for banks.Kwakuwa wewe ni Gambosh, team ukabila, usiyependa kujifunza,hutakaa ujue maana ya ATM YA MAZIWA
AUTOMATIC TAKE MILK -ATM
🤣🤣🤣sahivi Malindi hapa Operate huduma zimesogezwa Hugos na Redstone.Na redstone.