ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Changamoto ya hizo ATM hatujui maziwa yamekaa kwa muda gani....unakuta unakunywa maziwa ya siku 5 huko nyuma maana huwezi jua biashara inapanda na kushuka. Sasa mpya watumiaji wengi ila muda unavyoenda idadi inapungua. Je usalama wa maziwa tuonatumia vp hapo
 
Salamu kwa jiwe na bashite dunia haijawahi kusimama kuwasubiri wa gamboshi. Lumumba njooni basi hata mtoe tusi moja la kijinga
 
Ulishajiuliza kwanini nguvu kubwa hutumika kutangaza unywaji wa maziwa tofauti na vyakula vingine?
Ulishajiuliza ni kwanini wanyama wote wakifika umri wa kuacha kunyonya hawataki tena maziwa hata kwa kuwalazimisha na ni binadamu pekee ambaye anakunywa maziwa hadi uzeeni,

Maziwa si salama kwa binadamu, tafuta maarifa zaidi juu ya jambo hili!
 
Hii machine wamebuni wachaga,au wameinunua kwa wachina na kuifunga uchagani?
naomba kujibiwa ili nijue namna ya kutoa pongezi na kuwatuma vijana wangu tuchote maarifa.
 
Rc Wa dar jitoe kimasomaso tafuta wathamini watuwekee na cc angalau za maji na soda
Itapunguza kidogo michupa mingine inayozagaa zagaa
 
Ulishajiuliza kwanini nguvu kubwa hutumika kutangaza unywaji wa maziwa tofauti na vyakula vingine?
Ulishajiuliza ni kwanini wanyama wote wakifika umri wa kuacha kunyonya hawataki tena maziwa hata kwa kuwalazimisha na ni binadamu pekee ambaye anakunywa maziwa hadi uzeeni,

Maziwa si salama kwa binadamu, tafuta maarifa zaidi juu ya jambo hili!
Mkuu, tufungue kidogo kuhusu maziwa. Point ya wanyama wengine wakishamaliza kunyonya huwa hawarudii kunywa maziwa ni fikirishi kidogo. Hebu toa dodoso kidogo mkuu. Mimi ni mbishi kunywa maziwa...nadhani ukitoa link hapa ndio sitataka kuyaona kabisa.
 
Hii kitu si mpya,tunduma Kuna parking ya magari makubwa inaitwa SIMPIA,pale ipo ATM ya maji tangu kitambo tu,ukiingiza 100 inatoa ndoo moja,ATM hi inatambua pesa halali yoyote duniani,hata ukiingiza kwacha inakubali.
 
Shashimboni shafo mbe
Wakati huku kwa wakwe zangu MBEYA mtu mwenye shahada yake [BI TUKINAO] ya udaktari yaani Phd akiongozana na timu ya watu 20 kutoka Dar kuja [NZI WA KIJANI] kufanya maigizzo ya kuizika CHADEMA , kwa dhihaka wenzake wanaingiza ATM za maziwa.
Mungu alivyo si mtume, "akawapenda zaidi makada wawili waka rest-in-peace" wakiwa wanarudi DAr kutoka kumkufuru huko Mbeya.


Ila wachagga mmetukomesha aisee, duh, shimbonyi wachagga woose
 
Mkuu, tufungue kidogo kuhusu maziwa. Point ya wanyama wengine wakishamaliza kunyonya huwa hawarudii kunywa maziwa ni fikirishi kidogo. Hebu toa dodoso kidogo mkuu. Mimi ni mbishi kunywa maziwa...nadhani ukitoa link hapa ndio sitataka kuyaona kabisa.
asante mkuu nitakutag nikiweka bandiko hapa!
 
Hii mashine ilitengenezwa Moshi au imenunuliwa ikafungwa hapo? hii si ni dispenser tu ya kawaida? what is the news here?mbona zipo miaka mingi sana jamani
 
Kipi Cha uongo mkuu nilichoandika? Ni Nan asiyejua uchapakazi wa watu wa mkoa huo? Kuna sehemu tz utawakosa? Kuna ofisi yoyote utawakosa? Pia fuatilia takwimu za kiuchumi kilimanjaro watu wake 90% wanaishi maisha Bora
Lazma tuwape sifa stahiki
Kwamba makabila mengine yana mbwembwe si ndiyo ??? Siku nyingine uwe unachuja vitu kabla ya kuviandika.
 
Back
Top Bottom