ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Kwa mawazo yako tu inaonekana Dar ni Bonge la Mji kwako.
Daaah,bonge la mji tena?🤣🤣🤣pendeni kwenu,mpaendeleze sio mnakimbilia dar,mnang'ang'ana mmezaliwa posta mpya.hata kurudi kusalimia hamtaki tena 🤣,mnakaa mnamshangaa magufuli kurudi chato mara kwa mara
magufuli mjanja anapaendeleza kwao anajua baada ya harakati zote atarudi chato tu.
 
Sawa mjanja wa maghorofa ya Posta mpya kuwa na usiku mwema.
 
Wahamiaji haramu huwa na tabia hiyo, wangeileta wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…