ATT: Ombi maalum kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Please, Please msiwafukuze Lema, Lissu na Heche CHADEMA hii ni kwa faida yenu na Taifa letu

Waondoke wakaanzishe chama chao cha mihemko waiache chadema.

Wakifukuzwa litakuwa jambo la maana sana, ili sasa zile waanziita siri wakazimwage mahakamani ili tujue mbivu na mbichi.
 
MUNGU yu mwema
 
Rushwa ni mbaya sana
 
Wale wanaomuombea kura Mwenyekiti kwa simu wamefikia mafanikio kwa % ngapi

Duuuh
 
Duh,asee!
 
Kwani wamepanga kuwafukuza??
 
Asanteni
 
Nimeota Machozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…