ATT: Ombi maalum kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Please, Please msiwafukuze Lema, Lissu na Heche CHADEMA hii ni kwa faida yenu na Taifa letu

ATT: Ombi maalum kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Please, Please msiwafukuze Lema, Lissu na Heche CHADEMA hii ni kwa faida yenu na Taifa letu

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
==
Chonde chonde waheshimiwa wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Taifa kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Freeman Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana kwa chama na Taifa sijui kama mnalifahamu hili vema Viongozi wangu,

Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema Lemma asiwepo tena CHADEMA hasa kwenye Kamati Kuu Kwakuwa mpaka sasa Lemma hana hiyo nafasi na hajagombea na kakataa kata kata kuwa chini ya Mbowe japo ni kaka yake wa damu, Hivyo tukimtaka Lemma tena CHADEMA Lissu na Heche waongoze chama.

Pili, Kuruhusu Mbowe ashinde ni sawa na kumfukuza kabisa John Heche CHADEMA na kwenye Kamati Kuu kama ambovyo Mbowe amekuwa akitamani Heche asiwepo, kwa muda mrefu Kwakuwa jamaa hahongeki.

Tatu, Kuruhusu Mbowe ashinde ni Kuruhusu Tundu Lissu anayetembea na risasi kwa sababu ya CHADEMA awembali na CHADEMA kwani hatakuwa na cheo chochote atabaki kuwa mkunja ngumi kwa maelezo ya tajiri Wenje, haya ni maumivu makali kwa CHADEMA.

Waheshimiwa Wajumbe tunaamini hamuwezi kupiga kura kuwakataa marafiki zetu akina Lemma, Heche na TUNDU LISSU tena msijaribu laana hii.

WACHAGUENI HECHE NA LISSU MUIPONYE CHADEMA YETU NA FURAHA ITAWALE, MSITULETEE VILIO TAREHE 21 TUNAWAOMBA.

Msisahau Mbowe akishindwa ni kama kashinda tu Kwakuwa yeye atabaki kuwa mjumbe wa Kamati Kuu na kiongozi mkuu wa Chama mpaka kifo chake hata kama mtawachagua Lissu na Heche.

FIKIRINI KWA UMAKINI SANA HILI
 
==
Chonde chonde wajumbe kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Mbowe Ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana sijui kama mnafahamu hili,

Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema Lemma asiwepo tena CHADEMA hasa kwenye Kamati kuu Kwakuwa mpaka Sasa hana hiyo nafasi na hajagombea.

Pili, Kuruhusu Mbowe ashinde ni sawa na kumfukuza Heche Kamati kama ambovyo Mbowe amekuwa akitamani asiwepo,

Tatu, Kuruhusu Mbowe ashinde ni Kuruhusu Tundu Lissu awembali na CHADEMA kwani hatakuwa na cheo chochote atabaki kama mkunja ngumi kwa maelezo ya Wenje.

Wajumbe tunaamini hamuwezi kupiga kura kuwakataa marafiki zetu akina Lemma, Heche na TUNDU LISSU please msijaribu laana hii.

WACHAGUENI HECHE NA LISSU MUIPONYE CHADEMA
Kusanyiko la wakimbizi na wala Rushwa linaparaganyika Sasa.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Wale wanaomuombea kura Mwenyekiti kwa simu wamefikia mafanikio kwa % ngapi
 
Mbowe alishasema ngoja tumalize uchaguzi...unafikiri kwa nini Msigwa anamshambulia Mbowe kama ngiri aliyejeruhiwa🐗
 
==
Chonde chonde wajumbe kwa unyenyekevu mkubwa tunawaomba sana kamwe msiruhusu Mbowe ashinde kwani madhara yake ni makubwa sana sijui kama mnafahamu hili,

Kwanza, Kumchagua Mbowe ni sawa na kusema Lemma asiwepo tena CHADEMA hasa kwenye Kamati kuu Kwakuwa mpaka Sasa hana hiyo nafasi na hajagombea.

Pili, Kuruhusu Mbowe ashinde ni sawa na kumfukuza Heche Kamati kama ambovyo Mbowe amekuwa akitamani asiwepo,

Tatu, Kuruhusu Mbowe ashinde ni Kuruhusu Tundu Lissu awembali na CHADEMA kwani hatakuwa na cheo chochote atabaki kama mkunja ngumi kwa maelezo ya Wenje.

Wajumbe tunaamini hamuwezi kupiga kura kuwakataa marafiki zetu akina Lemma, Heche na TUNDU LISSU please msijaribu laana hii.

WACHAGUENI HECHE NA LISSU MUIPONYE CHADEMA YETU NA FURAHA ITAWALE.

Msisahau Mbowe akishindwa kama kashinda tu Kwakuwa yeye atabaki kuwa mjumbe wa Kamati kuu mpaka kifo chake.

FIKIRINI KWA UMAKINI SANA HILI
Wafundishwe adabu kwanza.
 
Vijana wameisha onesha njia, sasa wazee na kamati kuu yao watajua cha kufanya
 
Back
Top Bottom