ATTENTION kwa wanawake ndio SEX kama ilivyo kwa wanaume

Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
Mwanamme anayeweza kufanya hayo yote ni yule ambaye yupo idle(marioo).
 
Nowadays wanaume mnatufahamu kuliko sisi wenyewe
binti kiziwi
Ni kweli, mi nae na umwamba wangu nikinyinwaga attention na “yeye” huwa nachanganyikiwa. Na wanajuaga…..ukizingua anafanya mambo mengine yote ila ana withhold attention 🥹

Ndio hapo wengine huwa tunaanzisha ugomvi wa kulazimisha ilimradi tuparurane tu, unani-ignore….unanignore kivipi? 🤣 We ni wangu ms*** njoo tugombane hakuna vya kuignoiana!
 
Umenikumbusha kuna zogo langu moja lilitokea sehemu mwamba akajifanya kanuna weeee nikamwambia we jinunishe ila mie ndiyo nipooo sanaa😂😂😂

Wewe ni twin twin twin😂😂😂🙌🙌🙌
 
😂 Naijua hiyo mwenetu.
Wewe ni twin twin twin😂😂😂🙌🙌🙌
Hili tulishakubaliana kwenye ule uzi zamani.

Halafu nashangaa, hiki ndio kipindi ambacho attention kutoka kwa mtu/watu wengine inaboa, yaani naonaga hadi damu zinasisimka mtu akitaka kuniongelesha au kunichekea chekea (Mi nitakuwa nimelogwa)
 
Watu aina yetu hua tuna really love
Yaani kutongozwa tongozwa hua hatupendi hasa ukiwa in love sehemu

Akikutongoza mtu kama anakuchekesha 😂😂🙌
NB : niombee love mie napenda vibaya 🤦‍♂️😢🥹
 
Labda tuombeane. Hakuna kitu kibaya kama dating for love, it’s either u-date au ujiondoe ukapiganie nchi 🤣 mambo ni mawili tu.

Napenda watu ambao dating kwao ni game! tbh.
 
Huhuhuhu mi nashindwa kualewa
Au niwe mpigania katiba 😂😂😂

Shenziiii sana wewe
Hakuna kitu kibaya kama dating for love🤔
Unapenda watu kwao dating ni kama game 😂😂 karahgabaooo

Mambo ya kupenda mtu mwenye mpenzi wake 🥹🥹💔😂😂
 
Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
Turejee kitabu cha Men are from Mars, Women are From Venus
 
Huhuhuhu mi nashindwa kualewa
Au niwe mpigania katiba 😂😂
😂😂😂😂

Shenziiii sana wewe
Hakuna kitu kibaya kama dating for love🤔
Unapenda watu kwao dating ni kama game 😂😂 karahgabaooo

Mambo ya kupenda mtu mwenye mpenzi wake 🥹🥹💔😂😂
Hata ukimpata wako 10/10 if you are dating for love investment ya hisia huwa iko juu sana, you can’t take bs, you can’t let something slide yaani kwa ujumla unakuwa mkorofi kupitiliza, wakati jitu kama hulipendi hata likifanya nini unaliangalia tu ndio kwanza unakauka kucheka. Ngoja sasa hiko hiko kitu afanye mwenye unampenda 😂
 
Kweli babe 😂😂 ukimpenda mtu unakua na kaukorofi fulani hivi, yaani kama kuna spirit ya ukorofi inakuvaa 😂😂

Unaweza kuonekana msumbufu kumbe mizani imekuzidia hisia, feelings ziko top 🙌🙌

Akifanya usie mpenda anakuchekesha 😂😂 ila haya mambo Mungu asaidie wewe ndio uone mtu anachekesha kuliko wewe uchekeshe this is really bad💔😂😂
 
Ntalia sana hiyo siku 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom