secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Yale yenye michirizi chirizi? 😅Chizi Maarifa anapenda yale makebo yenye kraang yaani mabunye bunye😁
Yale yenye michirizi chirizi? 😅Chizi Maarifa anapenda yale makebo yenye kraang yaani mabunye bunye😁
Baelezee👌🏽Attention bila hela wanawake hawahawa
We omba namba ukalambe jaginaSijaelewa umetagiwa kwa sababu gani, maana kwenye huu uzi hatujachati sehemu yoyote 😂
Mkuu, vijana hawa bila fimbo hawaelewi. Unawaelewesha hadi unachoka.SAsa pesa si ndio njia ya kumpa attention
Ila vijana wa JF 😁😁😁
secretarybird ebu wasaidie vijana mawazo😁
Wewe ni mgeni kwa hii Id? Puuzia mkuu ukweli unaujua na yeye anaujua huenda anaku prank tu mkuu!Kuna mtu anadai natafuta attention kwako aisee, nimjibu nini huyu Seran? maana naona amekutag pia 😂😂
Kumbe kuna kuoneana wivu id kwa id tena 😆Hemu onyesha attention nimeitafuta vipi kijana mdogo?
Unaona wivu ninavyo chat na Seran? 😂
Get used to this shit mkuu..Sijaelewa umetagiwa kwa sababu gani, maana kwenye huu uzi hatujachati sehemu yoyote 😂
Utanionaje kati unawaza tu kumtext seran😹😹Sijaelewa umetagiwa kwa sababu gani, maana kwenye huu uzi hatujachati sehemu yoyote 😂
Hapa labda unazungumzia wasichana na si wanawake, mwanaume anayejitambua anatoa wapi muda wa kufanya upuuzi wote huo.Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
Unazidi kumvuruga tu sio🤣Utanionaje kati unawaza tu kumtext seran😹😹
Aah hemu ngoja niangalie replies za nyuma 😂😂 , huenda kijana mdogo akawa alimaanisha kumbe.Utanionaje kati unawaza tu kumtext seran😹😹
Hawa vijana watakuvuruga ukiwatilia maanani na ni wengii😁Aah hemu ngoja niangalie replies za nyuma 😂😂 , huenda kijana mdogo akawa alimaanisha kumbe.
Acha wenge soma kwa kurelax seran ni wakoAah hemu ngoja niangalie replies za nyuma 😂😂 , huenda kijana mdogo akawa alimaanisha kumbe.
Mmeshajiamlia mambo bila kunishirikisha sio😅Acha wenge soma kwa kurelax seran ni wako
Sasa kama anakuona ww tu😹😹Mmeshajiamlia mambo bila kunishirikisha sio😅
😂😂 Aisee, naambiwa natafuta attention, sijui ku-reply comment ya mtu ndio kutafuta attention kwenyewe.Kumbe kuna kuoneana wivu id kwa id tena 😆
Sio kweli bwana! Huyu mdogo wangu muungwana sana, hanaga hizo😀Sasa kama anakuona ww tu😹😹
Ngoja kwanza niipate hiyo reply yako nijibu, halafu tuendelee 😂Acha wenge soma kwa kurelax seran ni wako
Wanachangamsha tu jukwaa wala usiwatilie maanani mkuu😅😂😂 Aisee, naambiwa natafuta attention, sijui ku-reply comment ya mtu ndio kutafuta attention kwenyewe.
Seran hawa vijana, inaonekana mnawakaushia sana mpaka wanapata desperation.