Kakushinda tabia🤣😂😂huyu ndege hapana
Tatizo unalinganisha sex na vitu vya hovyo, attention kweli attention 🤔😅 haya bhana labda kama unatumia emotions na sio logic.😁😁 ndio uone sasa sijahemuka ndugu,
Ukitaka demu ahemuke we mnyime attention uone
In order to use logic you have to reasonTatizo unalinganisha sex na vitu vya hovyo, attention kweli attention 🤔😅 haya bhana labda kama unatumia emotions na sio logic.
Anapenda kudonoa kila mahali😂Kakushinda tabia🤣
Kupewa label kwenye nyuzi kama hizi Seran ni kugusa tu, utasikia " ndio huwa unawatapeli wanaume hivyo?" 😂😂Kuwa huru mkuu😁
Reasonably explained ila sasa kwenye kulinganisha sex na attention hapo naona sio, ila kusema ukimnyima attention atataabika hio iko sawa bin sawia.In order to use logic you have to reason
Ndio maana nimekwambia ukitaka demu wako ahemuke kama muimba taarabu we mnyime attention.
simple as my underpants.
Ndio uhalisia huo anakuonesha😁Anapenda kudonoa kila mahali😂
Inakubidi uchukulie utani maana humu wana kazi ya kupandishana sukari tu😆Kupewa label kwenye nyuzi kama hizi Seran ni kugusa tu, utasikia " ndio huwa unawatapeli wanaume hivyo?" 😂😂
Watu ni mawakala wa ibilisi humu, sio bure 😂😂Inakubidi uchukulie utani maana humu wana kazi ya kupandishana sukari tu😆
Mimi nilikaa kabla ya kukauka sina curviness yoyote🙆🏽♀️Napenda kuwapa attention mabinti wenye MAKEBO MAKUBWA.
Seran Mallerina njooni niwape attention maan nyie ni CURVY QUEENS
View attachment 3645626
Mawakala tena! Maibilis wenyewe😀Watu ni mawakala wa ibilisi humu, sio bure 😂😂
Sikufundish upende niniHatupendi attention kaka
Seran