Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sijui huwa ni nini husumbua akili ya mwanamke!😁Tena tunagandaga ambapo hatupewi attention tukiwa tumependa
Sijui huwa ni nini husumbua akili ya mwanamke!😁Tena tunagandaga ambapo hatupewi attention tukiwa tumependa
Wacha weeee😂
Hata kama hana keboz😅We pita tu mbele yangu utapata tu attention.
The law of nature!ili nivutie kitu kizuri inafaa nianze na mimi mwenywe ndani yangu🤩
You are what you eat.ili nivutie kitu kizuri inafaa nianze na mimi mwenywe ndani yangu🤩
Mambo hayoo!!😁Wacha weeee😂
Kuwa huru mkuu😁Unaweza kucomment tofauti hapa, ukaishia kuambiwa unaenda kinyume na wanawake wenzako kumbe ni mtazamo wako tu na wewe umeona hivyo.
Bwashee nimekushusha vyeo hii mada imejaa mihemkoMwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
Kama hana keboz apite mbali nami kwa maana ataharibu siku yangu.Hata kama hana keboz😅
Ndo maana attention sio muhimu sanaaaaSijui huwa ni nini husumbua akili ya mwanamke!😁
Mambo ndo haya sasa🥰The law of nature!
bila kibunda msela hatoboi😂Mambo hayoo!!😁
Ona sasa umeeshaelezea mihemko yenyewe umemaliza. Hii ndio version yako nayoifahamu😅🤝NIoneshe wapi kwenyw uzi kuna miguno ya ngono demu akiwa anapigwa paipu hadi anahemuka
Kabisa! Tubadilikee..Ndo maana attention sio muhimu sanaaaa
Kakaake punguza dose utauwa😁NIoneshe wapi kwenyw uzi kuna miguno ya ngono demu akiwa anapigwa paipu hadi anahemuka
Kabisaa!! Mambo yasiwe mengi..!bila kibunda msela hatoboi😂