secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
We sema tu hivyo.Mpenzi mtazamaji 😜
We sema tu hivyo.Mpenzi mtazamaji 😜
Kama hakupendi ukimpa sana attention ataona unamkera. Trade with caution.Mwanamke hashibi ugali wala sex ya kutosha bali hushiba na kutosheka nafsi yake pale anashobokewa, kuwa centre ya scenario, kusikilizwa hisia zake hata bila ku-zishare, kuulizwa ulizwa juu ya hali yake na matamanio yake kuwekwa kuwa namba one priority.
Kuna kaukweli japo tulishahama huko wengine tuko busy na mifuko yao, wao wako busy kutu please🤸🏽♂️napinga icho kichwa cha mada😂
Kivumbi leo...Unaweza kuthibitisha hili, au umeandika hisia zako tuu
Usumbufu wa kiwango cha lami.Kama hakupendi ukimpa sana attention ataona unamkera. Trade with caution.
we unapenda attention ya aina gani😂Hata naelewa basii!
Hebu nijaribu..
Ni kupewa umakini kupita kiasi, mfano ukipita uangaliwe, ukitaka kitu usipuuzwe, ukifanya kitu watu wote wakugeukie wewe tu!
Na mwanamke akikosa attention kwa mtu anayempenda, kichwa kinakosa utulivu. Very interesting scenario.Usumbufu wa kiwango cha lami.
Attention mambo ya kale😂hayo ...tulichanuka kitambo aiseeKuna kaukweli japo tulishahama huko wengine tuko busy na mifuko yao, wao wako busy kutu please🤸🏽♂️
Tena tunagandaga ambapo hatupewi attention tukiwa tumependaNa mwanamke akikosa attention kwa mtu anayempenda, kichwa kinakosa utulivu. Very interesting scenario.
Kwa sababu maisha hayakupi unayemtaka, unavutia unaoendana nao.Tena tunagandaga ambapo hatupewi attention tukiwa tumependa
We pita tu mbele yangu utapata tu attention.Tena tunagandaga ambapo hatupewi attention tukiwa tumependa
we unapenda attention ya aina gani😂
ili nivutie kitu kizuri inafaa nianze na mimi mwenywe ndani yangu🤩Kwa sababu maisha hayakupi unayemtaka, unavutia unaoendana nao.
Kabisa! Anabaki kujiuliza maswali ambayo majibu anayo!Na mwanamke akikosa attention kwa mtu anayempenda, kichwa kinakosa utulivu. Very interesting scenario.
Mimi nikiona sizingatiwi najiongeza mama’ake muda hauruhusu!😎Attention mambo ya kale😂hayo ...tulichanuka kitambo aisee