ATTENTION kwa wanawake ndio SEX kama ilivyo kwa wanaume

Mwanamme anayeweza kufanya hayo yote ni yule ambaye yupo idle(marioo).
 
Nowadays wanaume mnatufahamu kuliko sisi wenyewe
binti kiziwi
Ni kweli, mi nae na umwamba wangu nikinyinwaga attention na β€œyeye” huwa nachanganyikiwa. Na wanajuaga…..ukizingua anafanya mambo mengine yote ila ana withhold attention πŸ₯Ή

Ndio hapo wengine huwa tunaanzisha ugomvi wa kulazimisha ilimradi tuparurane tu, unani-ignore….unanignore kivipi? 🀣 We ni wangu ms*** njoo tugombane hakuna vya kuignoiana!
 
Ni kweli, mi nae na umwamba wangu nikinyinwaga attention na β€œyeye” huwa nachanganyikiwa. Na wanajuaga…..ukizingua anafanya mambo mengine yote ila ana withhold attention πŸ₯Ή
Umenikumbusha kuna zogo langu moja lilitokea sehemu mwamba akajifanya kanuna weeee nikamwambia we jinunishe ila mie ndiyo nipooo sanaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio hapo wengine huwa tunaanzisha ugomvi wa kulazimisha ilimradi tuparurane tu, unani-ignore….unanignore kivipi? 🀣 We ni wangu ms*** njoo tugombane hakuna vya kuignoiana!
Wewe ni twin twin twinπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Umenikumbusha kuna zogo langu moja lilitokea sehemu mwamba akajifanya kanuna weeee nikamwambia we jinunishe ila mie ndiyo nipooo sanaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚ Naijua hiyo mwenetu.
Wewe ni twin twin twinπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Hili tulishakubaliana kwenye ule uzi zamani.

Halafu nashangaa, hiki ndio kipindi ambacho attention kutoka kwa mtu/watu wengine inaboa, yaani naonaga hadi damu zinasisimka mtu akitaka kuniongelesha au kunichekea chekea (Mi nitakuwa nimelogwa)
 
Watu aina yetu hua tuna really love
Yaani kutongozwa tongozwa hua hatupendi hasa ukiwa in love sehemu

Akikutongoza mtu kama anakuchekesha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
NB : niombee love mie napenda vibaya πŸ€¦β€β™‚οΈπŸ˜’πŸ₯Ή
 
Labda tuombeane. Hakuna kitu kibaya kama dating for love, it’s either u-date au ujiondoe ukapiganie nchi 🀣 mambo ni mawili tu.

Napenda watu ambao dating kwao ni game! tbh.
 
Labda tuombeane. Hakuna kitu kibaya kama dating for love, it’s either u-date au ujiondoe ukapiganie nchi 🀣 mambo ni mawili tu.

Napenda watu ambao dating kwao ni game! tbh.
Huhuhuhu mi nashindwa kualewa
Au niwe mpigania katiba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Shenziiii sana wewe
Hakuna kitu kibaya kama dating for loveπŸ€”
Unapenda watu kwao dating ni kama game πŸ˜‚πŸ˜‚ karahgabaooo

Mambo ya kupenda mtu mwenye mpenzi wake πŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ’”πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Turejee kitabu cha Men are from Mars, Women are From Venus
 
Huhuhuhu mi nashindwa kualewa
Au niwe mpigania katiba πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Shenziiii sana wewe
Hakuna kitu kibaya kama dating for loveπŸ€”
Unapenda watu kwao dating ni kama game πŸ˜‚πŸ˜‚ karahgabaooo

Mambo ya kupenda mtu mwenye mpenzi wake πŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ’”πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata ukimpata wako 10/10 if you are dating for love investment ya hisia huwa iko juu sana, you can’t take bs, you can’t let something slide yaani kwa ujumla unakuwa mkorofi kupitiliza, wakati jitu kama hulipendi hata likifanya nini unaliangalia tu ndio kwanza unakauka kucheka. Ngoja sasa hiko hiko kitu afanye mwenye unampenda πŸ˜‚
 
Kweli babe πŸ˜‚πŸ˜‚ ukimpenda mtu unakua na kaukorofi fulani hivi, yaani kama kuna spirit ya ukorofi inakuvaa πŸ˜‚πŸ˜‚

Unaweza kuonekana msumbufu kumbe mizani imekuzidia hisia, feelings ziko top πŸ™ŒπŸ™Œ

Akifanya usie mpenda anakuchekesha πŸ˜‚πŸ˜‚ ila haya mambo Mungu asaidie wewe ndio uone mtu anachekesha kuliko wewe uchekeshe this is really badπŸ’”πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ntalia sana hiyo siku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…