Attitude ya Harmonize yafikisha views Million 3 ndani ya masaa 27

Nina mashaka na hao views.....
Si kwa kasi hiyoo...
 
Nenda ucheki tena mkuu ujiridhishe.
 
Kaangalie sasa ivi jamaa amefikisha 3.4 views in a day mzee Harmo ni nom baba mkubali mkatae Harmo is taking Mondi down
Yeye amekimbiza sema YouTube walimpunguzia viewers
 
Walikuwa wameichokonoa siyo bure ndiyo maana imeichukua muda kufika 1 milioni views ndani ya masaa 24, haiwezekani masaa 3 baadaye iende mpaka 3 milioni. Kuna namna wasafi Wana hila sana ipo siku itajulikana.
huo niuchaw kama uchawi mwingne kumnyoshea mtu kidole unaushahdi?
 
Jifunze zaidi kuhusu Youtube views. Hakuna ng'ombe yoyote anaweza kuchokonoa hao views. Youtube wanautaratibu wao wa ku monitor views from different IP address. Kumbuka huu sio mfumo wa tume ya taifa ya uchguzi Tanzania.
Ni ukosefu wa elimu tu. Hamna mtu yeyote mwenye mandatory ya kumpunguzia mwenziwe views youtube hata siku moja bali youtube wenyewe wakiona kumechezeka fouls kwenye ku-attain hizo views mfano kununua views na mtu mmoja kuingia na kutoka kuingia na kutoka ili kuongeza idadi.

Simple and clear.
 
Kwa digital platform zote hizi unaamini kuwa msanii anaweza baniwa? Dunia ya sasa unaweza kufikia watu bila hata kupigwa redioni.
 
Mziki hauhitaji nguvu,konde hana meneja amezungukwa na waganga njaa wasiojua muziki
 
Diamond ni Msanii bora bado, ila ujio wa harmonize ni wazi unautesa sana himaya ya wasafi, huyu jamaa soon tutaona anampiku domo, he is making such a smart move, im proud of him
Mmmh sawa carrymastory
 
umeandika kwa huruma sana kamanda. Kwani diamond ye mwenyewe anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…