Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga na mziki mzuri wapi na wapi!Wimbo kelele nyingiii[emoji16][emoji16][emoji16].
Hakuna wakulaumiwa kila mtu ana nafasi yake na muda wake.Najua mnalaumu system ya mziki ila huu mziki mpaka kufika hapa wakulaumiwa ni Clouds na Ruge,wao waliishika industry ya mziki na walikuwa wanaamua kutokana na maslahi yao nani wampandishe na nani wa mshushe,nani wambanie haijalishi ana ubora gani,tumeona kwa Jide,FA,Sugu,Rama dee na Diamond.
Mond kakomaa mwenyewe kaanzisha label yake ambalo kila siku Clouds,EFM,EATV,Mwijaku,Soudy,H-Baba wanampiga madongo.
Harmo katoka WCB,WCB ana support ya media zote kubwa Clouds,EATV,EFM ambayo zamani alivyokuwa wCB hawakumpa na WCB nao kama kawa wanawampiga madongo.
Kiba naye vilevile aliibuliwa ili kumshusha Mondi na Clouds lkn naona wamechemka,sasa wapo na Harmo waanampromoti hata nyimbo iwe mbaya au nzuri itapigwa tu sababu wanaamini wana mkomoa Diamond kumbe wanaiumiza industry na wasanii wengine.
Mziki sasa hivi ni wa watu watatu (Kiba,Mondi,Harmo)wana fanabase kubwa na media zina wasapoti hata watoe kituko gani,matokeo yake wanazani kwa kufanya hivyo wanaikomoa timu fulani kumbe wanao umia zaidi ni wasanii ambao hawapati airtime ya kutosha.
Mfano Kayumba juzi kato wimbo wa Bomba,Mzuwanda katoa Niteke na Mario katoa nyimbo ya For You zote nzuri ila ukitizama,media wamezichunia kimtindo wao wapo na Kiba (King's),Konde (Kondegang) wanaamini wanaikomoa WCB.WCB nao wao wana deal na kazi zao tu,hata media yao inatoa airtime kwa kiasi kikubwa kwa nyimbo zao ila nyimbo za wasanii wengine wanapiga ila sizani kama inavuka 40% ya airtime.
Wasanii ambao wako independent ambao hawana team ndio wanapata tabu.Roma,Chemical,Dudu walishawahi kuliongelea hili la mziki kuendeshwa kiupendeleo kwa hizi team tatu.
Kesho sijui labda tunaweza tukawa na team Vanny au Ibrah manake hii hali inazidi kukua na washika dau wameichunia hii hali ila mbaya sana kwa mziki wa bongo.
Una macho lakini huoni,Roma juzi katoka kulalamika tu akaulizi "hivi mziki wetu ni wa watu watatu".Alibishana na Askofu-Tz Instagram,Chemical kaongea kile kile,Dudu naye kaongea kilekile.Hakuna wakulaumiwa kila mtu ana nafasi yake na muda wake.
Hakuna media inayochunia nyimbo kali.
Hit song haijifichi.
Mbona media haijaichunia hii ngoma ya dogo anaitwa jay melody?
Apana Darasa anastahili iyo adhabu maana Darasa alisaliti kambi na kikawaida ukisaliti kambi ni lazima uwajibishwe kwa adhabu stahiki sasa ndo anachokipata DarasaNyie fans mko unfair sana.
Mpaka sasa Darassa hajafikisha followers 1.5m kwenye Instagram yake!
Hata kama mna matimu mjitahidii kusapoti vipaji.
Alisaliti kambi gani ?Apana Darasa anastahili iyo adhabu maana Darasa alisaliti kambi na kikawaida ukisaliti kambi ni lazima uwajibishwe kwa adhabu stahiki sasa ndo anachokipata Darasa
Nyinyi ndio mliwapumbaza hao wasanii wenu ,, mlikiwa mnawaambia radio na TV si chochote kweny kupromote music,,Najua mnalaumu system ya mziki ila huu mziki mpaka kufika hapa wakulaumiwa ni Clouds na Ruge,wao waliishika industry ya mziki na walikuwa wanaamua kutokana na maslahi yao nani wampandishe na nani wa mshushe,nani wambanie haijalishi ana ubora gani,tumeona kwa Jide,FA,Sugu,Rama dee na Diamond.
Mond kakomaa mwenyewe kaanzisha label yake ambalo kila siku Clouds,EFM,EATV,Mwijaku,Soudy,H-Baba wanampiga madongo.
Harmo katoka WCB,WCB ana support ya media zote kubwa Clouds,EATV,EFM ambayo zamani alivyokuwa wCB hawakumpa na WCB nao kama kawa wanawampiga madongo.
Kiba naye vilevile aliibuliwa ili kumshusha Mondi na Clouds lkn naona wamechemka,sasa wapo na Harmo waanampromoti hata nyimbo iwe mbaya au nzuri itapigwa tu sababu wanaamini wana mkomoa Diamond kumbe wanaiumiza industry na wasanii wengine.
Mziki sasa hivi ni wa watu watatu (Kiba,Mondi,Harmo)wana fanabase kubwa na media zina wasapoti hata watoe kituko gani,matokeo yake wanazani kwa kufanya hivyo wanaikomoa timu fulani kumbe wanao umia zaidi ni wasanii ambao hawapati airtime ya kutosha.
Mfano Kayumba juzi kato wimbo wa Bomba,Mzuwanda katoa Niteke na Mario katoa nyimbo ya For You zote nzuri ila ukitizama,media wamezichunia kimtindo wao wapo na Kiba (King's),Konde (Kondegang) wanaamini wanaikomoa WCB.WCB nao wao wana deal na kazi zao tu,hata media yao inatoa airtime kwa kiasi kikubwa kwa nyimbo zao ila nyimbo za wasanii wengine wanapiga ila sizani kama inavuka 40% ya airtime.
Wasanii ambao wako independent ambao hawana team ndio wanapata tabu.Roma,Chemical,Dudu walishawahi kuliongelea hili la mziki kuendeshwa kiupendeleo kwa hizi team tatu.
Kesho sijui labda tunaweza tukawa na team Vanny au Ibrah manake hii hali inazidi kukua na washika dau wameichunia hii hali ila mbaya sana kwa mziki wa bongo.
Apana Darasa anastahili iyo adhabu maana Darasa alisaliti kambi na kikawaida ukisaliti kambi ni lazima uwajibishwe kwa adhabu stahiki sasa ndo anachokipata Darasa
Wala hupaswi kutumia nguvu nyingi bali tumia akili yako japo kidogo tu na kama una akili timamu basi unamjua mwalimu muda huwa anafanya maamuzi gani yani iko ivi kila chenye mwanzo basi ujue kina mwisho ni kila mpanda ngazi basi ni lazima ashuke na mwisho kabisa kila afikaye juu ni lazima ashuke chini hili likukae akilini kabisa acha ubishi usio na faidaHahaha Mkuu acha kujitia upofu,Wakuchukua kijiti cha Diamond bado ajaanza kuimba,Hivi unakumbuka balaah la Darasa na Nyimbo yake washa muziki? Au Ali kiba na Seduce Me? Leo wapo wapi ?, na wote hao walipimishwa ubavu na Diamond ila still yupo kwenye ubora wake
NOTE : Washa Muziki na Seduce me zilikua hit songs[emoji444] [emoji445]
Wafanye hits watu watawafata popote walipo.Una macho lakini huoni,Roma juzi katoka kulalamika tu akaulizi "hivi mziki wetu ni wa watu watatu".Alibishana na Askofu-Tz Instagram,Chemical kaongea kile kile,Dudu naye kaongea kilekile.
Kuna wasanii wakali na wanatoa nyimbo kali ila hawana airtime,kama utabisha sawa ila fuatili hizi redio kuanzia j3-J2 utapata majibu nao wanafuata hizi team na trend za Insta na YouTube.
Wajinga na mziki mzuri wapi na wapi!
Yaani wewe kijana wa mtoto wa leo unatqka Awilo awe kwenye trend gani ya muziki ikiwa Awilo ashatoa hit nyingi sana kipindi ambacho wewe ulikuwa bado upo kwenye boxer ya baba ako ukumbuke Awilo ndo alikuwa anamfanya baba ako anatorokaga kwao ili aende disko akayaruke magoma ya papaa Logomba AwiloNdio mnaharibu mziki. Awilo Longomba hayupo popote kwenye ramani ya mziki dunia hii. Halafu mara paaaap ana trend tz!
Mnanyionyesha mlivyo na upeo mdogo kuelewa mziki mzuri na kwenda mbele walimwengu watawashtukia follows zenu la likes zenu za mamilioni ni za kitopolo.
Unakurupuka sana boss tatizo nini nduguKambi ipi?? Acha story Zako za vijiweni, kinachowakwamisha kina darassa music wa Kiki na trending hawauwezi darassa kumuona ni mbaka anavyotoa nyimbo,
Sasa kwa kipindi Diamond kabanwa kila sehemu,kimbilio lake lilikiwa ni social network kulikiwa hamna means nyingine ya kupromote mziki wake.Nyinyi ndio mliwapumbaza hao wasanii wenu ,, mlikiwa mnawaambia radio na TV si chochote kweny kupromote music,,
Mkaenda mbali kusema mitandao ndo kila kitu kupromote, Bila kufikilia kuwa wataofaidika ni watu wenye fan base kubwa,
Hao kina ruge walizingua tu upande wa TV na radio ila hku kwenye u tube views utawaonea tu,
Jux anacho kipata na kazi anayo ifanya ni tofauti na ni kweli mimi katika waimbaji ninao wakubali ni Jux,Ben,Barnaba yaani hawa nikiwatizama naona industry yenu still haiwapi hadhi wanayo stahili sijui kwako.Wafanye hits watu watawafata popote walipo.
Lini kulifanyika mkutano wa media zote tz na kukubaliana kuwa flani achezwe na na flani asichezwe? Kuna kazi nzuri na kuna kazi nzuri zaidi.
Sasa kama msanii amestuck kwenye mediocrity state lazima ajione kuwa anapuuzwa kumbe hajaenda extra mile kujitofautisha na wenzake wengi.
Keki ipo mezani walaji ni wengi, ili ufanikiwe kupata kipande cha keki hiyo unatakiwa ufikiri tofauti na wengi mliozunga meza hiyo, na siku zote keki hiyo humtosha kila mtu kwa nafasi yake endapo atajiongeza.
Mfano: Msanii anayeitwa Jux sio msanii anayetamba saana hapa Tz na humsikii sana kwenye media house za Tz ila ni mmoja kati ya wasanii wanaoingiza kipato kikubwa kupitia streams za social media platform.
Hao wanaolalamika wafikirie namna ingine ya kupata attention ya walaji wakiona wamepuuzwa wajue wamekosa ushawishi.
Kwaiyo Mondi yeye akiinvest kwenye social media na Digigital platform ni sawa ila Harmonize akiinvest kwenye izo izo social media na Digital platform yeye anaonekana anaharibu muziki au sio, embu tuache unafiki bhana cake ya taifa ni kubwa mno apa mezani so kila mwenye jitihada atapata kipande ukiwa mvivu ndo ivyo hutopata kipande kifupi nyimbo kali wala haijifichi yaani ngoma kali ni kali tu ata muiseme vip yenyewe inapasua mawimbi ngoma ya Harmo ni kali sana na itasumbua mno mno yaaani hamtoamini macho yenu tujitayarishe tu kumpokea king mpya wa bongoflevaSasa kwa kipindi Diamond kabanwa kila sehemu,kimbilio lake lilikiwa ni social network kulikiwa hamna means nyingine ya kupromote mziki wake.
So kwa yeye kusema radio na tv si chochote ni sawa sababu alisurvive miaka miwili bila radio kupiga nyimbo zake na diamond aliinvest kwenye digital platform mapema tokea 2015.Lakini si wote wenye talanta kama ya Mondi,kuna wasanii wanalalamika airtime ila wanaongea kimafumbo ila hii hali ipo utake husitake na ni mbaya kwa wasanii wasiokuwa na teams.
Alifanyaje mkuu?Apana Darasa anastahili iyo adhabu maana Darasa alisaliti kambi na kikawaida ukisaliti kambi ni lazima uwajibishwe kwa adhabu stahiki sasa ndo anachokipata Darasa
Unapayuka kama umekunywa maji ya mfereji mchafu hebu angalia series ya jamaa niliyekuwa na ongea nae anzia mwanzo.Kwaiyo Mondi yeye akiinvest kwenye social media na Digigital platform ni sawa ila Harmonize akiinvest kwenye izo izo social media na Digital platform yeye anaonekana anaharibu muziki au sio, embu tuache unafiki bhana cake ya taifa ni kubwa mno apa mezani so kila mwenye jitihada atapata kipande ukiwa mvivu ndo ivyo hutopata kipande kifupi nyimbo kali wala haijifichi yaani ngoma kali ni kali tu ata muiseme vip yenyewe inapasua mawimbi ngoma ya Harmo ni kali sana na itasumbua mno mno yaaani hamtoamini macho yenu tujitayarishe tu kumpokea king mpya wa bongofleva