ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Yani nacheka tu hapa kila nikikumbuka nyimbo za awilo mwanzo mwisho makelele na miaka ile hutuambii kitu aiseee bila makelele bado hujaimba nyimbo ya awilo daaah...............n mashabiki wake ni vichaa kweli kweli mpaka leo huko dunianiWengi wanaolalamika kelele ni wale waliokulia sigimbi huko Awilo wamemjulia kwa Konde Boy,
[emoji3]