Sasa hiyo adhabu alifanya nini? Hebu tuambie..........Apana Darasa anastahili iyo adhabu maana Darasa alisaliti kambi na kikawaida ukisaliti kambi ni lazima uwajibishwe kwa adhabu stahiki sasa ndo anachokipata Darasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo adhabu alifanya nini? Hebu tuambie..........Apana Darasa anastahili iyo adhabu maana Darasa alisaliti kambi na kikawaida ukisaliti kambi ni lazima uwajibishwe kwa adhabu stahiki sasa ndo anachokipata Darasa
Apana mkuu nina MUHAHO wa ATTITUDE oya pati tu dei i want to dem attitude[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unapayuka kama umekunywa maji ya mfereji mchafu hebu angalia series ya jamaa niliyekuwa na ongea nae anzia mwanzo.
Ndo hivo sasa imekuwa wenye fanbase kubwa ndo wanafaidika kina mond,kiba ,harmonize,WcB ,,Sasa kwa kipindi Diamond kabanwa kila sehemu,kimbilio lake lilikiwa ni social network kulikiwa hamna means nyingine ya kupromote mziki wake.
So kwa yeye kusema radio na tv si chochote ni sawa sababu alisurvive miaka miwili bila radio kupiga nyimbo zake na diamond aliinvest kwenye digital platform mapema tokea 2013.Lakini si wote wenye talanta kama ya Mondi,kuna wasanii wanalalamika airtime ila wanaongea kimafumbo ila hii hali ipo utake husitake na ni mbaya kwa wasanii wasiokuwa na teams.
Kaangalie sasa ivi jamaa amefikisha 3.4 views in a day mzee Harmo ni nom baba mkubali mkatae Harmo is taking Mondi downPia tafuta uzi huu
"YouTube Yafuta viewers kwenye wimbo wa Harmonize"
Jifunze zaidi kuhusu Youtube views. Hakuna ng'ombe yoyote anaweza kuchokonoa hao views. Youtube wanautaratibu wao wa ku monitor views from different IP address. Kumbuka huu sio mfumo wa tume ya taifa ya uchguzi Tanzania.Walikuwa wameichokonoa siyo bure ndiyo maana imeichukua muda kufika 1 milioni views ndani ya masaa 24, haiwezekani masaa 3 baadaye iende mpaka 3 milioni. Kuna namna wasafi Wana hila sana ipo siku itajulikana.
Hahahha!huyo ndo mmakonde orijino asili ya wamakonde ubishi haswaaMmakonde japo mshamba ila mbishi sana..ndo maana wcb wanalialia tu.
Ndio wanai-control YOUTUBE?Walikuwa wameichokonoa siyo bure ndiyo maana imeichukua muda kufika 1 milioni views ndani ya masaa 24, haiwezekani masaa 3 baadaye iende mpaka 3 milioni. Kuna namna wasafi Wana hila sana ipo siku itajulikana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ananichekesha na kiinglish chake.. my mendula...[emoji23]Anamsemo wake anasema konde boi foo everibadi[emoji38][emoji38]
Mimi siongei mahaba, Diamond atashuka mda wake ukifika ,kachemka Ali kiba sembuse Harmonize? Alafu jiulize mwenyewe kati ya Ali kiba na Harmonize nani kafanyiwa figisu zaidi?.Wewe jua kuutofautisha Harmonize na hao unaowasema aisee. Yaani Harmonize ni diamond version mpya. Huyu ndo aliyeandaliwa kuuendeleza muziki pale diamond alipoishia. Akitoa highschool album utakuja kuniambia. Hao hawana constitency aliyonayo mmakonde. Pia Kuna drama flani wanakuaga nayo big artist Kama Michael Jackson, davido , na diamond wa kipindi hicho.... Vinasababisha kuongelewa hata anapokua hajatoa nyimbo.... Hivyo Harmonize anavyo. Aisee kuwa makini unapomfananisha Harmonize na akina kiba. Jiulize kwanini alikiba hajawah shambuliwa Kama Harmonize au huyo darasa kama aliwah shambuliwa Kama Harmonize. WCB wenyewe wanaujua Moto wa mmakonde.
MuhahoKwani wcb wanasemaje pamoja na yule chawa sinza pazuri ?