ATWOLI: Wanaume mlio na mwanamke mmoja 'Shenzi Zenu'

Halafu ana kitambi hadi tumbo linamwajika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanasaidia kumbato wake zake .

hata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo mtu mwenyewe anayesema mwanamke 1 hamtoshi ukimuangalia unaona kabisa kama ana kazi kubwa zaidi ya kufanya kwake yeye kama yeye kwanza kabla ya kuanza kulaumu mwanamke ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…