Au mnasemaje ndugu zangu!

Au mnasemaje ndugu zangu!

Nyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔?

Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄

🚴🚴🚴🚴
Sio kweli!! Ww utakuwa unawasikiliza walevi wa wanzuki pale Manzese na ukaconclude kwamba waimba michano wote miyeyusho,HIPHOP ndio mziki pekee unaoongelea real life ya kitaa na Emcees wanawasilisha ujumbe wao na kueleweka na jamii haraka kuliko genre nyingine za muziki..hebu cheki kwanza hizi lines za 2pac katika wimbo wa keep ya head up wa mwaka 93 then nambie bado unahisi wachanaji ni watu waliochanganyikiwa!???

"And since we all came from a woman Got our name from a woman and our game from a woman (yeah, yeah) I wonder why we take from our women Why we rape our women, do we hate our women? (Why? Why?) I think it's time to kill for our women (why? Why? Why? Why?) Time to heal our women, be real to our women And if we don't we'll have a race of babies That will hate...""
 
Back
Top Bottom