Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa haijakaa sawa bila shaka... Rap ni ya legends usichukulie poaNyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔?
Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄
🚴🚴🚴🚴
Mama la mama, kitu white 😀😀Tehtehtehhhhh!! Itakua hakijakaa sawa![emoji16][emoji16]
Hiyo ni michano ya mtu mmoja anaitwa Jay z itafute hyo mitamu sanaKwann tena mkuu😳 Kuna nn
Sio kweli!! Ww utakuwa unawasikiliza walevi wa wanzuki pale Manzese na ukaconclude kwamba waimba michano wote miyeyusho,HIPHOP ndio mziki pekee unaoongelea real life ya kitaa na Emcees wanawasilisha ujumbe wao na kueleweka na jamii haraka kuliko genre nyingine za muziki..hebu cheki kwanza hizi lines za 2pac katika wimbo wa keep ya head up wa mwaka 93 then nambie bado unahisi wachanaji ni watu waliochanganyikiwa!???Nyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔?
Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄
🚴🚴🚴🚴
kitu ndingoooo😄😄😄Mama la mama, kitu white [emoji3][emoji3]
Nyimbo za michano ndio nyimbo gani mkuu?Nyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔?
Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄
🚴🚴🚴🚴