Aua Mke na Mkwe wake

Chanzo utasikia, wivu wa mapenzi 😢
 
Wivu, ushirikina na afya ya akili ni tatizo kubwa kwenye jamii yetu.
 
Mbona hamuweki dini yake?Si ndio ilikuwa kawaida akiuliwa mtu au kubakwa watu wanaweka dini yake mtuhumiwa.Hili zoezi mbona mmesitisha?Au halina maana tena?
 
Juzi Arusha jana Dodoma
 
Kwa anaefatilia ngapi ngapi toka mwaka huu uanze? Naona kama wanawake wapo 0
 
Wazazi haswa Kinamama waache kuingilia ndoa za watoto wao.
 
Vipi na hawa walikuwa kwenye Maandamano?
 
Hicho alichokifanya jamaa!wengi wanatamani kukifanya humu,SEMA utu unawazuia kutofanya!!

Utamfanya Nini mwanamke uliemtoa zero Leo mambo yamekaa sawa anajiona hero na kukudharau huna maana tena!!?

Maombi,talaka,na ukitaka kuanza mwanzo hizo nguvu ulizotumia hadi ulipofika bado utakua nazo!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…