Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu, ushirikina na afya ya akili ni tatizo kubwa kwenye jamii yetu.FESTO Maganga Mkazi wa Seguchini, Kata ya Nala, Wilaya ya Dodoma Mjini, anadaiwa kumuua mkewe na mama mkwe wake, kisha na yeye kuuawa na wananchi. Tukio hilo limetokea jana Jumapili Januari 28, 2024 majira ya saa 10 :30 jioni katika Mtaa wa Seguchini.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari, mmoja wa ndugu za marehemu hao, Samwel Lengole amesema wiki iliyopita mama mkwe, ambaye ni mama wa mke wa mtuhumiwa, Anna Ngalai alikwenda kwa mwanaye Maria Joseph kusalimia.
Hata hivyo, amesema (jana saa 10.30 kuelekea saa 12 jioni) pasipo kufahamu ni nini kilitokea, ilikutwa miili ya mama na mtoto wake jikoni ikiwa imechomwa na kitu chenye ncha kali shingoni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amethibitisha tukio hilo akisema taarifa atazitoa baadaye.
Source - Nipashe
Naunga mkono hoja.stress za CCM hizo
Si nimeona hapo wamesema ameuliwa na wananchi?Ikithibitika kuwa ana akili timamu nae auwawe.
Juzi Arusha jana DodomaFESTO Maganga Mkazi wa Seguchini, Kata ya Nala, Wilaya ya Dodoma Mjini, anadaiwa kumuua mkewe na mama mkwe wake, kisha na yeye kuuawa na wananchi. Tukio hilo limetokea jana Jumapili Januari 28, 2024 majira ya saa 10 :30 jioni katika Mtaa wa Seguchini.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari, mmoja wa ndugu za marehemu hao, Samwel Lengole amesema wiki iliyopita mama mkwe, ambaye ni mama wa mke wa mtuhumiwa, Anna Ngalai alikwenda kwa mwanaye Maria Joseph kusalimia.
Hata hivyo, amesema (jana saa 10.30 kuelekea saa 12 jioni) pasipo kufahamu ni nini kilitokea, ilikutwa miili ya mama na mtoto wake jikoni ikiwa imechomwa na kitu chenye ncha kali shingoni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amethibitisha tukio hilo akisema taarifa atazitoa baadaye.
Source - Nipashe
hakuna aliyesalamaNaunga mkono hoja.
Huku mtaani watu wamevurugwa hatari.
Huko dodom ccm imesababisha umaskini mkubwa....ukifatilia hilo tukio lina link moja kwa moja na hali ya kipatostress za CCM hizo
Mkuu,Wanadamu wamekua na mioyo migumu sana
Kumbe Dodoma nao hawajapoa kwa kutoa MATESO ya kwenye chumba cha Gizamara hatuui wanawake
Hii taarifa umeipata wapi?Wazazi haswa Kinamama waache kuingilia ndoa za watoto wao.
HahaaaNa wakawa wa kiherehere kupayuka maandamano yataleta vurugu.Hata hivyo,pole zao wote/ndugu.Wamekufa vifo vya uchungu na haraka kuepuka kadhia za CCM.
Vipi na hawa walikuwa kwenye Maandamano?FESTO Maganga Mkazi wa Seguchini, Kata ya Nala, Wilaya ya Dodoma Mjini, anadaiwa kumuua mkewe na mama mkwe wake, kisha na yeye kuuawa na wananchi. Tukio hilo limetokea jana Jumapili Januari 28, 2024 majira ya saa 10 :30 jioni katika Mtaa wa Seguchini.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari, mmoja wa ndugu za marehemu hao, Samwel Lengole amesema wiki iliyopita mama mkwe, ambaye ni mama wa mke wa mtuhumiwa, Anna Ngalai alikwenda kwa mwanaye Maria Joseph kusalimia.
Hata hivyo, amesema (jana saa 10.30 kuelekea saa 12 jioni) pasipo kufahamu ni nini kilitokea, ilikutwa miili ya mama na mtoto wake jikoni ikiwa imechomwa na kitu chenye ncha kali shingoni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amethibitisha tukio hilo akisema taarifa atazitoa baadaye.
Source - Nipashe
Yakukute Ila yasikukute makubwa km haya ya kuuliwa na Mob Justice Mob Justice sio mchezo unachomolewa ulimi hivi unauonaMkuu,
Omba Yasikukute mkuu Dunia Ina maumivu sana hii