ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Popoma leo limejichanganya ku log out ona hii aibuAcha kutumia nguvu kubwa kujifanya unajua Kuchambua Mpira na unajua mengi kwani hakuna unachokijua na kama ungekuwa uko vizuri GENTAMYCINE asingekuwa ndiyo Bingwa wa Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo hapa JamiiForums aliyemshinda Boya na Pimbi Mwenzako mwingine Greatest Of All Time na mpaka sasa anamchukia Jamaa wa Watu ambaye anakubalika na anaaminika Kitaarifa na Kiuwasilishaji JamiiForums nzima hasa katika Michezo, Habari Mchanganyiko, Siasa na Mambo ya Ulinzi na Usalama.
Nimechanganya kipi Yeye ni GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na Mimi ni MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" ambao ni Watu tofauti kabisa?Popoma leo limejichanganya ku log out ona hii aibu
Moja ya watu wenye fikra fupi ni Wewe na siku zote nakuambia tafuta msaada wa Kisaikolojia. Background yako ulinyanyasika na kufanywa kituko na mpaka leo hujikubali na hujiamini. Lakini nyuma ya keyboard unajifanya sana MwambaMpumbavu Manyanza anaweza Kumrekebisha Mwerevu wa Kutukuka JamiiForums na Duniani kote GENTAMYCINE?
Mkuu Greatest Of All Time huyo Genta ni bonge la kilaza wala usihangaike naye. Tunaojua saikolojia tunamuona ni mtu ambaye hajiamini na aliyeishi maisha ya kufanywa kituko, na hakuwahi kuoneshwa upendo enzi zake za utoto. Humu akiwa JF anajifanya sana Mwamba kumbe afya yake ya akili ni dhoofu🖕🏼🖕🏼🖕🏼
Hongera kwa Kututaja Waume zako.Mkuu Greatest Of All Time huyo Genta ni bonge la kilaza wala usihangaike naye. Tunaojua saikolojia tunamuona ni mtu ambaye hajiamini na aliyeishi maisha ya kufanywa kituko, na hakuwahi kuoneshwa upendo enzi zake za utoto. Humu akiwa JF anajifanya sana Mwamba kumbe afya yake ya akili ni dhoofu
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!Moja ya watu wenye fikra fupi ni Wewe na siku zote nakuambia tafuta msaada wa Kisaikolojia. Background yako ulinyanyasika na kufanywa kituko na mpaka leo hujikubali na hujiamini. Lakini nyuma ya keyboard unajifanya sana Mwamba
Tafuta msaada wa afya ya akili. Dume zima unakuwa na maneno machafu hata hoja hauna.Hongera kwa Kututaja Waume zako.
Nitafute msaada wa Akili Wewe unazo hizo Akili zenyewe?Tafuta msaada wa afya ya akili. Dume zima unakuwa na maneno machafu hata hoja hauna.
[emoji23][emoji23]kumbe na wewe ni popoma? nlikua najua Genta peke yakeNimechanganya kipi Yeye ni GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na Mimi ni MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person" ambao ni Watu tofauti kabisa?
Noted mkuu!!Mkuu Greatest Of All Time huyo Genta ni bonge la kilaza wala usihangaike naye. Tunaojua saikolojia tunamuona ni mtu ambaye hajiamini na aliyeishi maisha ya kufanywa kituko, na hakuwahi kuoneshwa upendo enzi zake za utoto. Humu akiwa JF anajifanya sana Mwamba kumbe afya yake ya akili ni dhoofu
Ana tatizo la kisaikolojia huyo na hajielewi na mpaka leo ile tuzo ya JF ndio inamfanya ajione nwamba wakati afya ya akili yake haiko stableNoted mkuu!!
DuhWiki iliyopita GENTAMYCINE nilikuomba Wewe Mrogaji wake ambaye ni Kiboko ya Kipa Diara kuwa mrudishie haraka Soksi yake uliyoiiba Bunju na kuipeleka kwa Mtaalam Mbeya na Kigoma hukutaka kunisikia sasa Jamaa ( Aubin Kramo ) yuko njiani kurejea kutoka Kwao na kasema lazima akulipizie Kisasi kwa Kumtesa Kwako huku ukiwa hata Kufunga kwenyewe Magoli hufungi zaidi tu ya Miguvu guvu yako isiyo na msaada kivile.
Kazi ipo.....!!