Aucho kukosa fainali mbili CAF

Aucho kukosa fainali mbili CAF

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2.

Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.

6537EFF6-AC77-4F0C-AB33-4B2A23EDDBCE.jpeg
 
Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2. Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.
View attachment 2634791
Duu kwa mujibu wako............ ila hamna kitu kama hicho, mechi ni moja tu atakayo kosa.
 
Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2. Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.
View attachment 2634791
Hakuna kanuni ya hivyo, uongo unakusaidia nini?
 
Kumkosa mchezaji muhimu kama Aucho, ni pigo kwenye safu yetu ya kiungo. Ila nina imani na kocha.
Mechi ya kwanza ataikosa, ila ya pili atacheza. Jamaa hakutafsiri vizuri. Angekosa mechi ya pili pia iwapo hiyo ingekuwa kadi ya njano ya sita (yaani ya tatu kwa mara ya pili)

1685086367282.png
 
Ni Kadi ya sita hivo atakosa zote mbili....
Okay, kama ni kadi ya sita sawa atakosa zote mbili. Lakini mambo ya sheria huwa yanachanganya, sijajua hizo kadi nyingine alizipata kabla au baada ya makundi. Hapo naona pia kuna mahali pameandikwa
3. At the end of the group matches, the cautions that do not lead to a suspension are cancelled.
 
Vs Monastir Dar
Vs Rivers Dar
Vs Marumo Dar
Vs Marumo South Africa
Jumla kadi 4 za njano, kadi 3 ni katika mechi zinazofuatana
 
Ni Kadi ya sita hivo atakosa zote mbili....
Hakufukisha kadi sita,

Kwenye hatua ya makundi hadi kufika nusu fainali kapata kadi nne za njano, na kabla ya kuingia hatua ya makundi alipata kadi moja ya njano dhidi ya Club African kule Tunisia.

Sijui kama mechi za Zalan na Al Hilal za kufuzu klabu bingwa kama zinahesabiwa.
 
Kwa mujibu wa kanuni za CAF ikiwa mchezaji atapata kadi 3 za njano kwenye mechi 3 mfululizo za mashindano au kadi nyekundu, adhabu yake itakuwa mara 2 hivyo atafungiwa mechi 2.

Aucho alipata kadi 3 mfululizo. 2Vs Marumo na 1Vs Rivers United hivyo atakosa mechi zote 2 za fainali.

View attachment 2634791
Walikudhihaki lakini kumbe ni kweli. Baada ya kufanya ule ujinga na kupewa kadi alionekana hana furaha baada ya mechi.

Aucho
 
Back
Top Bottom