Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Comfirmed! Ni mechi zote mbili za fainali atazikosa.Mechi ya kwanza ataikosa, ila ya pili atacheza. Jamaa hakutafsiri vizuri. Angekosa mechi ya pili pia iwapo hiyo ingekuwa kadi ya njano ya sita (yaani ya tatu kwa mara ya pili)
View attachment 2635166