severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Kweli MKuu hapa ni Shimo kubwa any ways mikoba Sasa ni Kwa Bangala naamini atafanya mema yanayotakiwa. Kikubwa kingine wajiepushe na rafu serious zisizo na maana mana waarabu huzitafuta hizo Kwa nguvu mwisho wa siku tukawa pungufu au tukazipata mapema mwisho wa siku tukaanza kucheza under confidence!Mehi zote hatokuwepo mkuu, ndicho kinachotupa wasiwasi juu ya pengo lake kama litaweza kuzibika