Acha uongo aisee ligi kuu ENGLAND wazawa wanapata nafasi kubwa kwenye media kuliko wageni hata harry kipindi anawania kiatu na lukaku walifanya mauzauzaHaya ameyasema Leo baada ya Yanga kutangazwa kuwa mabingwa.
Aucho amewashangaa Watanzania kuwashangalia wageni hasa katika mbio za ufungaji Bora na kumuombea Fei asifunge lakini pia amependekeza kumshangilia Mudathir maana naye ni Bora
NB: Binafsi nimeshindwa kumuelewa Aucho kwenye mtizamo wake juu ya ushabiki wa watanzania dhidi ya wachezaji wa kigeni ila duniani kote naona watu wanawashangilia watu pasi na kujali uraia wao.
Kane kachukua kiatu Germany akishangiliwa na Wajerumani
Kwenye mpira hizi amsha amsha ndio zinaleta Raha Sasa yeye anataka twende kiroboti kufanya Kila kitu sababu ya utzYanga sio team ya taifa
Boko alikuwa anawania kiatu na Mugalu nasi pia tulifanya mauza uzaAcha uongo aisee ligi kuu ENGLAND wazawa wanapata nafasi kubwa kwenye media kuliko wageni hata harry kipindi anawania kiatu na lukaku walifanya mauzauza
Labda hatujui watz, sisi tunaishangilia team na wachezaji wake wotee. Huyo feisal si aliimbwa kuliko hata aziz?? Unaona baka anavyoimbwa uko njee?? Sisi hatulishabikii wala kulishobokea taifa la mchezaji, sisi tunamsapoti mchezaji wa yanga anayeperform ijapokuwa ni mzawa au ni mgeni. Kumbukeni aliimbwa ngasa, akaja msuva, boko na bado watakuja. Aziz angekuwa mchezaji wa ihefu au azam, wala hasingekuwa homa ya jijiHaya ameyasema Leo baada ya Yanga kutangazwa kuwa mabingwa.
Aucho amewashangaa Watanzania kuwashangalia wageni hasa katika mbio za ufungaji Bora na kumuombea Fei asifunge lakini pia amependekeza kumshangilia Mudathir maana naye ni Bora
NB: Binafsi nimeshindwa kumuelewa Aucho kwenye mtizamo wake juu ya ushabiki wa watanzania dhidi ya wachezaji wa kigeni ila duniani kote naona watu wanawashangilia watu pasi na kujali uraia wao.
Kane kachukua kiatu Germany akishangiliwa na Wajerumani
Kibu kaomba kuongezewa mshahara na signing fee pale Simba Kila mwanasimba anampiga madongoMapato ya wachezaji wa ndani. Walipwe vizuri watajituma.
Kwani huyu Aucho ni Mtanzania? Kwa nini asiseme Mkude apewe nafasi kuliko yeye?Haya ameyasema Leo baada ya Yanga kutangazwa kuwa mabingwa.
Aucho amewashangaa Watanzania kuwashangalia wageni hasa katika mbio za ufungaji Bora na kumuombea Fei asifunge lakini pia amependekeza kumshangilia Mudathir maana naye ni Bora
NB: Binafsi nimeshindwa kumuelewa Aucho kwenye mtizamo wake juu ya ushabiki wa watanzania dhidi ya wachezaji wa kigeni ila duniani kote naona watu wanawashangilia watu pasi na kujali uraia wao.
Kane kachukua kiatu Germany akishangiliwa na Wajerumani
Au lile semaji limeamua kufungua threadUsikute mtoa mada ni Saidoo (mzee wa kimila wa Simba)
Huu ndio ukweli ninao ujua na kama tungefata uzawa basi waziri junior angefaa kuwa shujaaLabda hatujui watz, sisi tunaishangilia team na wachezaji wake wotee. Huyo feisal si aliimbwa kuliko hata aziz?? Unaona baka anavyoimbwa uko njee?? Sisi hatulishabikii wala kulishobokea taifa la mchezaji, sisi tunamsapoti mchezaji wa yanga anayeperform ijapokuwa ni mzawa au ni mgeni. Kumbukeni aliimbwa ngasa, akaja msuva, boko na bado watakuja. Aziz angekuwa mchezaji wa ihefu au azam, wala hasingekuwa homa ya jiji
Kwanini aucho asimpishe mkude kwasababu mkude ni mzawa?Fatilia hiyo interview yake you tube sema katumia kingereza usipoelewa utaniambia nikutafsirie
Hakuna tatizo Kibu kuongezewa mshahara. Anajituma na inawezekana akafanya vizuri sana msimu ujao.Kibu kaomba kuongezewa mshahara na signing fee pale Simba Kila mwanasimba anampiga madongo
Wakati Fei kaomba kalalamika malipo madogo Kila mwanayanga aliomba aongezewe pesa ili arudi uwanjani ni hadi aliposema hawezi kurudi yanga hadi engineer aondoke ndio wanayanga wakamgeuka