uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
- Thread starter
- #61
Unaona Sasa we umeongelea zaidi masuala ya kimikataba huko ndani ambapo wote tumekuwa tukipiga kelele wapewe maslahi mazuriKudharauliwa sio kwenye kumtaka tu mchezaji hapa tunazungumzia kwenye maslahi pia Ibrahim bacca anapiga kazi kila mtu anaona ila siku za karibuni alisaini mkataba mpya watu wengi walishangazwa na kiwango kidogo cha mshahara anacholipwa hata Clement mzize na feisal akiwa yanga malipo yao yalikuwa gumzo kwa hyo inabidi tujitafakari unaweza ukakuta Augustin okrah anavuta mkwanja mkubwa pale jangwani kuliko faridi musa wakati wote wanakaa benchi.
Ye kaongelea mashabiki hapo ndio naona hajawatendea haki mashabiki kwa kudhani Wana wa hype wageni kuliko wazawa yes wageni wanapewa hizo hype pale wanapofanya vizuri lakini ni watz hao hao mgeni akizingua uwanjani watu wataomba aondoke eg Konkoni